Nina pesa nyingi kuzidi baba zenu

Nina pesa nyingi kuzidi baba zenu

Nyie masikini Mimi ni mtoto mdogo sana ila pesa zangu ni nyingi kuzidi hata za baba zenu na mtaumia sana na utajiri wangu sababu nyie ni mafukara tafuteni hela sio mnakaakaa kizembe humu Mimi ndio tajiri wenu nyie mafukara mnabidi mnipigie magoti Leo nitarisha masikini kwenye sikukuu ya maulid mnakaribishwa masikini wote maana mnanjaa sanaa
😝😝😝😝😝Watu wana depression Nchi hii

Utanyooka tu
 
Muhimu mkuu huku sio fb anatakiwa kujua Hilo so ili ajuewatu hawataki ujinga uliona Uzi wake soma then hakuna kureply ili ajue huku sio Kwa mafara
 
Attachments

  • Screenshot_20240916-092552.jpg
    Screenshot_20240916-092552.jpg
    587.2 KB · Views: 2
Tatizo la afya ya akili linazidi kukuwa hapa nchini. Ona huyu jobless anavyotukana watu huku jukwaani.
 
Msipoteze muda kubishana na mtu ambaye dishi linaonekana limeyumba. Hakuna tajiri anayepiga makelele na kutukana watu kwenye mitandao. Mtu anayefanya hivyo kama si tapeli ni muhuni au chizi.
 
Nyie masikini Mimi ni mtoto mdogo sana ila pesa zangu ni nyingi kuzidi hata za baba zenu na mtaumia sana na utajiri wangu sababu nyie ni mafukara tafuteni hela sio mnakaakaa kizembe humu Mimi ndio tajiri wenu nyie mafukara mnabidi mnipigie magoti Leo nitarisha masikini kwenye sikukuu ya maulid mnakaribishwa masikini wote maana mnanjaa sanaa
dogo unalazimisha umaarufu eeh
 
Unake
Nyie masikini Mimi ni mtoto mdogo sana ila pesa zangu ni nyingi kuzidi hata za baba zenu na mtaumia sana na utajiri wangu sababu nyie ni mafukara tafuteni hela sio mnakaakaa kizembe humu Mimi ndio tajiri wenu nyie mafukara mnabidi mnipigie magoti Leo nitarisha masikini kwenye sikukuu ya maulid mnakaribishwa masikini wote maana mnanjaa sanaa
ra ss mgese wewe, weny pesa hawajitangazi, yaan dogo unatumia nguvu nyingi kutrend kama dotto magari
 
Tajir nifanyie kdg nikapate launch 0762481738
 
Nyie masikini Mimi ni mtoto mdogo sana ila pesa zangu ni nyingi kuzidi hata za baba zenu na mtaumia sana na utajiri wangu sababu nyie ni mafukara tafuteni hela sio mnakaakaa kizembe humu Mimi ndio tajiri wenu nyie mafukara mnabidi mnipigie magoti Leo nitarisha masikini kwenye sikukuu ya maulid mnakaribishwa masikini wote maana mnanjaa sanaa
Uchizi wa salio la Mil 1.
 
Back
Top Bottom