Nina safari ya kuelekea Marekani, nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu

Nina safari ya kuelekea Marekani, nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu

Jiandae kujikinga na baridi hasa nyakati za asubuhi na jioni. Ni jiji zuri sana lenye kila aina ya vikorombwezo. Ukiona watu barabarani wanakimbia angalia wanakimbilia direction ipi ili nawe uanze kukimbilia kipande hiyo mara nyingi huwa ni fyatu kishaanza kumiminia watu risasi. Ni jiji lenye gharama kubwa sana ya maisha hivyo ujiandae vizuri na lina watu wengi sana na magari pia ni mengi sana Dar ni cha mtoto.
duuuhhhh ,
Dar cha mtoto mmmmhhhh aiseee .
 
Ahsante sana ,


naomba unieleweshe kuhusu usafiri
I mean public bus/taxi
maana nimesikia walanguzi wapo wapo hasa kwenye taxi


also, unanishauri niwe na tour guider ? au mm mwenyew tu inatosha ??

Ni vizuri ukawa na mwenyeji.public bus zipo poa na ni cheap kama unataka kutumia tax tumia uber itaonesha bei kabisa kama unaogopa kupigwa
 
Umenikumbusha miaka Zaid ya mitano nyuma nilipoenda marekani kwa mara ya kwanza, nilienda kwa mwaliko wa shirika na nilikua peke yangu kutoka tanzania..bas nikaingia kwenye ndege sijui chochote na kwenye gar hata sioni mbongo mwenzangu yaani niko peke yangu dah! Lakini sikua na wasiwasi sana zaid ya furaha tu! Kimbembe ni tulifika sehem tunataka kubadilisha ndege asee mpaka leo huwa nachekaaa akili ikanijia niulize wale polis mle ndani...sasa jaman ugeni huu..naenda kumuuliza na kingereza changu cha kuunga nimesahau sasa ntasema marekan? Aah polis hajui marekan kimoyo moyo nasema sasa hili jina la marekani lilitokea wap? Sasa niseme amerika? Amerika si bara hatonielewa aah nikaachana naye nikaanza kufata watu..baahat nzuri kulikua na muda mrefu kabla ya kubadili ndege ndiyo nikaenda kusoma kwenye zile board zao nikaona napotakiwa kwenda..kiufup ni kama vile kulikua tu na roho mtakatifu ananiongoza..mpaka baadae tunashuka airpot ya D.C ndiyo nikakutana na mbongo tukasalimiana sasa pale ndiyo tunatoka nje ya uwanja na vimbwa vyao vile vinatunusa dah! Nikachukua tax hadi hotelini lakini jina la marekan lilinisumbua sana kwakwel...tulikaa wiki mbili siku ya kurudi tena niko peke yangu uwanjani mle kuna sehem ya kupanda zile tren za ndani heehee nasikiliza tren imetaja kituo nikadandia chap..kutika ndan aah mbona tena kama siyo hii nikashuka fasta kufika chini tu nikauliza nikaambiea ndiyo hiyohiyo zena chap nikarukia kwa mlango mwingine jaman siku ile nilitetemeka uwiiii..ngoja niishie hapa lakin mkuu we nenda tu utafika tu wala hutopotea.
Kungekua Kuna mtu anakuchukua video ungepiga pesa zaid ya mr bean kwa hivi vimbwanga
 
[emoji23][emoji23] tatizo naona kama nitachanganikiwa flani bcoz nishazoa treni langu la gongo la mboto - kariakoo ,
au utaratibu wake ni simple ?
Ni simple tu, unaposhuka hapo JFK international airport, Kuna train zinakupeleka mpaka kwenye public transport, utauliza utaelekezwa vizuri tu huwezi potea, hila uwe na $ za kutosha hotel, chakula bei ya kawaida sana. Ukichukuwa taxii mpaka unaenda kunaweza kuwa mbali millage zinaweza kuwa nyingi sana bora kuchukuwa public transport, train, shuttle, public van.
 
Ndugu zangu wana JF,

Nina plan kuwa na safari ya kwenda Marekani (New York) by November mwaka huu ni safari ya kawaida tu just tour kwa wiki moja, lakini ndio itakuwa safari yangu ya kwanza kutoka nje ya Tanzania ukitoa Kenya.

So nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu kidogo juu ya mambo ambayo niwe makini nayo katika safari hii

hasa ninapotua tu Airport.

Screenshot_20210910-181246.png


Screenshot_20210910-181345.png


Screenshot_20210910-181444.png
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
pole sana Mkuu


lakini nasikia taxi drivers wengi ni scammers so, sijui naliepuka vipi hili

na mm same tu na ww nipo peke yangu na naenda just tour sio kwa mwaliko wwte
Mie bahat nzuri nilikuta jina langu mwenye tax kashikilia bango..tatizo ni baada ya kushuka kwenye ndege na kwenda kwenye ndege nyingine au kutoka nje ya airpot weweee heehee achaaa..ila kama unajua kingereza itakusaidia...mie bado napaan kabisa aliyefanya tuzoee kuita marekani sijui ni nan dah! Mzungu namuuliza ndege ya marekan naipata wap ananiuliza unasemaje?? Aah akili ikanijia fasta huu msala hakuna nchi inaitwa marekan doh! Nikaachana naye
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
pole sana Mkuu


lakini nasikia taxi drivers wengi ni scammers so, sijui naliepuka vipi hili

na mm same tu na ww nipo peke yangu na naenda just tour sio kwa mwaliko wwte
Umeshafanya interview ya VISA? Mimi naenda huko pia soon

Kwa Kipindi hiki wa restrictions nyingi Mpaka uwe umechanjwa, na kama huna miariko ya kueleweka hawakupi VISA.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
pole sana Mkuu


lakini nasikia taxi drivers wengi ni scammers so, sijui naliepuka vipi hili

na mm same tu na ww nipo peke yangu na naenda just tour sio kwa mwaliko wwte
Kuhusu usafiri Ukifika Airport I mean JFk kuna free wifi download app ya uber then jisajili utalipia na Visa ama MasterCard. Taxi are very expensive compared to Uber, pia usisahau kubeba jacket kwa ajili ya baridi
 
[emoji23][emoji23] tatizo naona kama nitachanganikiwa flani bcoz nishazoa treni langu la gongo la mboto - kariakoo ,
au utaratibu wake ni simple ?
Ushauri muhimu:-
Usiote Cash mbeke ya watu..
Usioneshe kama una noti au burungutu..
Usiulize ulize hovyo..bora use unasoma bango...

Kuhusu usafiri wa underground metros.. utaizoea tu.. kwa sbb kuna route map..
Mengine spoke MY ndiyo America yote... ni Dream of all Anericans..
Nenda utafurahi.. urudi kwa salaama
 
Back
Top Bottom