Nina safari ya kuelekea Marekani, nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu

Nina safari ya kuelekea Marekani, nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu

Ndugu zangu wana JF,

Nina plan kuwa na safari ya kwenda Marekani (New York) by November mwaka huu ni safari ya kawaida tu just tour kwa wiki moja, lakini ndio itakuwa safari yangu ya kwanza kutoka nje ya Tanzania ukitoa Kenya.

So nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu kidogo juu ya mambo ambayo niwe makini nayo katika safari hii

hasa ninapotua tu Airport.
Utaikuta Marekani ni tofauti na ulivyotarajia. Umaskini, ubaguzi, ubabe, misongamano barabarani na hata ukosefu wa usalama, hasa New York ambayo inaongoza kwa mauaji kwenye majiji ya mataifa yanayojidai yameendelea ukiachia mbali ukosefu wa utu.
 
Mie bahat nzuri nilikuta jina langu mwenye tax kashikilia bango..tatizo ni baada ya kushuka kwenye ndege na kwenda kwenye ndege nyingine au kutoka nje ya airpot weweee heehee achaaa..ila kama unajua kingereza itakusaidia...mie bado napaan kabisa aliyefanya tuzoee kuita marekani sijui ni nan dah! Mzungu namuuliza ndege ya marekan naipata wap ananiuliza unasemaje?? Aah akili ikanijia fasta huu msala hakuna nchi inaitwa marekan doh! Nikaachana naye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
pole sana Mkuu


lakini nasikia taxi drivers wengi ni scammers so, sijui naliepuka vipi hili

na mm same tu na ww nipo peke yangu na naenda just tour sio kwa mwaliko wwte
Kama utahitaji taxi, chukuwa zile za "yellow cabs". Zote ni njano. Epuka taxi bubu. nyingi zinaendeshwa na matapeli ndugu zetu wa Nigeria. Watakupeleka kusiko na kuchukuwa kila kitu. Usidhani kwa sababu ni USA basi kuna usalama TZ ina usalama zaidi kuliko USA., has New York na miji mingine mikubwa kama Chicago, etc.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
pole sana Mkuu


lakini nasikia taxi drivers wengi ni scammers so, sijui naliepuka vipi hili

na mm same tu na ww nipo peke yangu na naenda just tour sio kwa mwaliko wwte
Ukifika customs waambie hivyo hivyo naenda tour kama hawajakurudishia hapo hapo airport
 
Siku ya kwanza ukifika, toka nje ya nyumba uliyofikia kati ya saa saba na 11 aubuhi uwaambie “Good morning Americans”.
Hahahahaa, just like what Eddie Murphy did in 'Coming to America'! Ataporomoshewa bonge la tusi, ajaribu atakiona.
 
Jiandae kujikinga na baridi hasa nyakati za asubuhi na jioni. Ni jiji zuri sana lenye kila aina ya vikorombwezo. Ukiona watu barabarani wanakimbia angalia wanakimbilia direction ipi ili nawe uanze kukimbilia kipande hiyo mara nyingi huwa ni fyatu kishaanza kumiminia watu risasi. Ni jiji lenye gharama kubwa sana ya maisha hivyo ujiandae vizuri na lina watu wengi sana na magari pia ni mengi sana Dar ni cha mtoto.
Warembo wanapatikana mitaa gani na wana cots gharama gani ukimtoa out
 
Kila nikijaribu kuiambia nafsi yangu ipo siku utaenda U.S.A na wewe lakini Nafsi yangu inakataa inasema huwezi wewe sijuhi ni kwanini jamani
 
Back
Top Bottom