Nina safari ya kuelekea Marekani, nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu

duuuhhhh ,
Dar cha mtoto mmmmhhhh aiseee .
 
Ahsante sana ,

naomba unieleweshe kuhusu usafiri
I mean public bus/taxi
maana nimesikia walanguzi wapo wapo hasa kwenye taxi

also, unanishauri niwe na tour guider ? au mm mwenyew tu inatosha ??
Taxii wanacharge kwa millage, tumia public transport ni cheaper, taxii ni expensive
 
Ahsante sana ,

naomba unieleweshe kuhusu usafiri
I mean public bus/taxi
maana nimesikia walanguzi wapo wapo hasa kwenye taxi

also, unanishauri niwe na tour guider ? au mm mwenyew tu inatosha ??

Ni vizuri ukawa na mwenyeji.public bus zipo poa na ni cheap kama unataka kutumia tax tumia uber itaonesha bei kabisa kama unaogopa kupigwa
 
Kungekua Kuna mtu anakuchukua video ungepiga pesa zaid ya mr bean kwa hivi vimbwanga
 
[emoji23][emoji23] tatizo naona kama nitachanganikiwa flani bcoz nishazoa treni langu la gongo la mboto - kariakoo ,
au utaratibu wake ni simple ?
Ni simple tu, unaposhuka hapo JFK international airport, Kuna train zinakupeleka mpaka kwenye public transport, utauliza utaelekezwa vizuri tu huwezi potea, hila uwe na $ za kutosha hotel, chakula bei ya kawaida sana. Ukichukuwa taxii mpaka unaenda kunaweza kuwa mbali millage zinaweza kuwa nyingi sana bora kuchukuwa public transport, train, shuttle, public van.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
pole sana Mkuu

lakini nasikia taxi drivers wengi ni scammers so, sijui naliepuka vipi hili

na mm same tu na ww nipo peke yangu na naenda just tour sio kwa mwaliko wwte
Mie bahat nzuri nilikuta jina langu mwenye tax kashikilia bango..tatizo ni baada ya kushuka kwenye ndege na kwenda kwenye ndege nyingine au kutoka nje ya airpot weweee heehee achaaa..ila kama unajua kingereza itakusaidia...mie bado napaan kabisa aliyefanya tuzoee kuita marekani sijui ni nan dah! Mzungu namuuliza ndege ya marekan naipata wap ananiuliza unasemaje?? Aah akili ikanijia fasta huu msala hakuna nchi inaitwa marekan doh! Nikaachana naye
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
pole sana Mkuu

lakini nasikia taxi drivers wengi ni scammers so, sijui naliepuka vipi hili

na mm same tu na ww nipo peke yangu na naenda just tour sio kwa mwaliko wwte
Umeshafanya interview ya VISA? Mimi naenda huko pia soon

Kwa Kipindi hiki wa restrictions nyingi Mpaka uwe umechanjwa, na kama huna miariko ya kueleweka hawakupi VISA.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
pole sana Mkuu

lakini nasikia taxi drivers wengi ni scammers so, sijui naliepuka vipi hili

na mm same tu na ww nipo peke yangu na naenda just tour sio kwa mwaliko wwte
Kuhusu usafiri Ukifika Airport I mean JFk kuna free wifi download app ya uber then jisajili utalipia na Visa ama MasterCard. Taxi are very expensive compared to Uber, pia usisahau kubeba jacket kwa ajili ya baridi
 
[emoji23][emoji23] tatizo naona kama nitachanganikiwa flani bcoz nishazoa treni langu la gongo la mboto - kariakoo ,
au utaratibu wake ni simple ?
Ushauri muhimu:-
Usiote Cash mbeke ya watu..
Usioneshe kama una noti au burungutu..
Usiulize ulize hovyo..bora use unasoma bango...

Kuhusu usafiri wa underground metros.. utaizoea tu.. kwa sbb kuna route map..
Mengine spoke MY ndiyo America yote... ni Dream of all Anericans..
Nenda utafurahi.. urudi kwa salaama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…