Nina safari ya kuelekea Marekani, nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu

Utaikuta Marekani ni tofauti na ulivyotarajia. Umaskini, ubaguzi, ubabe, misongamano barabarani na hata ukosefu wa usalama, hasa New York ambayo inaongoza kwa mauaji kwenye majiji ya mataifa yanayojidai yameendelea ukiachia mbali ukosefu wa utu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
pole sana Mkuu


lakini nasikia taxi drivers wengi ni scammers so, sijui naliepuka vipi hili

na mm same tu na ww nipo peke yangu na naenda just tour sio kwa mwaliko wwte
Kama utahitaji taxi, chukuwa zile za "yellow cabs". Zote ni njano. Epuka taxi bubu. nyingi zinaendeshwa na matapeli ndugu zetu wa Nigeria. Watakupeleka kusiko na kuchukuwa kila kitu. Usidhani kwa sababu ni USA basi kuna usalama TZ ina usalama zaidi kuliko USA., has New York na miji mingine mikubwa kama Chicago, etc.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
pole sana Mkuu


lakini nasikia taxi drivers wengi ni scammers so, sijui naliepuka vipi hili

na mm same tu na ww nipo peke yangu na naenda just tour sio kwa mwaliko wwte
Ukifika customs waambie hivyo hivyo naenda tour kama hawajakurudishia hapo hapo airport
 
Siku ya kwanza ukifika, toka nje ya nyumba uliyofikia kati ya saa saba na 11 aubuhi uwaambie “Good morning Americans”.
Hahahahaa, just like what Eddie Murphy did in 'Coming to America'! Ataporomoshewa bonge la tusi, ajaribu atakiona.
 
Warembo wanapatikana mitaa gani na wana cots gharama gani ukimtoa out
 
Kila nikijaribu kuiambia nafsi yangu ipo siku utaenda U.S.A na wewe lakini Nafsi yangu inakataa inasema huwezi wewe sijuhi ni kwanini jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…