Nina safari ya kuelekea Marekani, nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu

Madam tuandikie stori..japo hata page 10.

Unajua kusimulia kwa kweli.

Vp migegedo ya huko kama ilitokea? [emoji1787][emoji1787]
 
Madam tuandikie stori..japo hata page 10.

Unajua kusimulia kwa kweli.

Vp migegedo ya huko kama ilitokea? [emoji1787][emoji1787]
Muda wa kuanika ndiyo changamoto plus matusi ya humu ndan unayajua tena! Bahat mbaya nilikua busy kiasi kwamba sikua na nafasi ya kugegedwa jingine ni kuwa nilienda kule nikiwa na cheo kwahiyo waliokua wananizunguka walikua wananiogopa..nilipata nafas siku moja ya kwenda kununua lain ya kule nikakutana na kijana wa kizungu kachora tatoo hlf ni handsome na ndo alikua ananihudumia bas akanipenda na kunisifia palepale akanipa na namba yake nimpigie nikishaweka lain yangu mpya kwa simu..bahat mbaya ile namba nikaimiss place na kesho yake jilivyorudi pale dukan sikumkuta..niliumia ila ubusy uliniponza sikurudi tena..
 
Kuwa makini Sana unapotembea mitaani kwani marekani kuuawa Kwa kupigwa risasi ya kichwa ni kitu cha kawaida sana
 
Na mwisho japo sio kwa umuhimu, hakikisha ukiingia kwenye bomba uwe umeshapata chanjo mkuu, mana saiv pande za watu hakuingiliki kama hijapata shot. Hilo angalizo tu incase kama bado hujapata!!
 
Kuna wabongo NYC kwao ni kama Kariakoo hao ndio huwatembeza Wtz wengi wakienda kutembelea NYC ,wamewatembeza akina Makonda,Mwigulu,Lisu,Domo , Kitenge na wengineo wengi unawalipa tozo kidogo na nauli na gharama za matembezi ni zako mwenyewe, hao watakupeleka popote unapotaka, ila ni muhimu kujua unapenda kutembelea vivutio gani, hao hata ukitaka kukodi helicopter watakufanyia hata ukitaka totoz za Kinywamwezi wewe tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Google utapata majibu yote ya maswali yako
 
naomba address zao basi
 
Wewe ni mmoja wa wahujumu uchumi mnaofadhiliwa na mabeberu, ndege yetu imeondoka juzi haukutaka kupanda ili pesa za nauli zirudi nyumbani, unakwenda panda za mabeberu.
 
Andaa milioni tano kwa ajili ya kuwekwa karanteen kwenye hoteli zao kwa siku kumi kwa gharama ya sh laki tano kila siku at your own cost,there after they test you with Covid 19
 

Passport na visa . Ukifanikisha hilo rudi tukupe abc za huku. Kwani wengi wananyimwa visa za huku sii mchezo
 
Ni kitu cha kawaida. New York kuko busy Sana. Hasahasa pale Times square. Maisha yako tofauti. Nilikaa hotelini sikupata chance ya kuinteract Sana na watu wa New York. Sema kuko expensive Sana. Ukiweza nenda na majimbo mengine. Mimi nilienda Georgia.
 
Hahaa Cha kwanza uwe makini ukifika airport Kuna mashine zile Zina maswali very tricky...soma vizuri uelewe swali ndio ujibu, usipay attention kwa wale Askari wanakuharakisha
First day lazima utumie ubber...it's safe and you can pay cash though ni expensive kidogo
Next day go and buy a metro card zinapatikana kwenye bus station in special machine where you keep money and load it on the metro card that you can use for public transport, ni cheap but lazima ujue ur destinations cause no one to direct you
New York is well arranged na all streets and avenue Zina number so you just need to know unaelekea namba gani ya Street on which avenue then huwezi kupotea kabisaa
Food zinapatikana just tembelea supermarket utapata vyakula and you can cook...kula hoteli it's ur choice but upikaji wa vyakula vyao ni tofauti kidogo na sisi...so you will need time kuvizoea..
Enjoy mkuu na ukiwa na swali waulize wazee...vijana have no time kabisaa...
All the best
 
Issue with tram at first lazima awe na

metro card...so may be awe na mwenyeji

wa kumsaidia kuinunua ... Cause NY

hawapay cash kabisaa kwenye hizo public

transport

Pia ubber ni nzuri for first day cause

itakupeleka mpaka unapoishi just kumpa

street no na avenue no...tofauti na public

transport Wana specific vituo

Pia JFK ni mbali kidogo na makazi ya

watu...sijui Kama sio mwenyeji ataweza

kuunga unga hizo tram mpaka afike

anapoishi..so ubber it's best..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…