Nina serious clients wanaohitaji huduma kukosa ofisi kumekuwa "red flag" inayonikosesha pesa naombeni msaada wadau

Wacheki hawa jamaa,co prosperity fund halafu utapata investor
 
Kijana kwanza hongera kqa kijitambua na kufanya. Natumai ulifanikiwa. Mtaji ni changamoto ya vijana wengi, ila huwa tunaanza tu kiugumu kama ulivyoanza. Scenerio yako ni ya vijana wengi sana. Tunafanya kwa ukubwa social media ila wateja wakifika ofisi kwetu unawaona kabisa kuna kitu kime change. Kuna muda hadi tunakejeliwa, ila tunajua tunachotaka, tunajua tunachofanya, tunajua kinachotikwamisha na tunapamba kufanikisha.

You have that courage, utafanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…