Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,643
Nisaidie kutafuta nakuahidi kukukumbuka.....
shost umemsahau shemejio loya
ungaekua ushavuta mshiko kitambo
coz hiyo hela kwake ni ya tax tu!!wengine wamefulia!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisaidie kutafuta nakuahidi kukukumbuka.....
Napatikana K/koo, mtaa wa Congo..napiga mzigo pale kuanzia sa12 hadi 12...
best wapiga mzigo weye? Tangu lini?
....ni mmwaminifu sana kukopa nakopa kulipa nalipa
ninashida ya kufa mtu, naombeni mnikopeshe milioni mbili
kuhusu namna ya kurejesha tutaongea nikishakopeshwa
Copy kwa mabilionea wa chit chat Bishanga, watu8, Chimbuvu, Madame B, Arushaone, Baba V, Manoah......
Slave kama unayo naomba sitegemei kama utanikopesha wewe
Rejao ulilalamika ulipokosekana kwenye list ya mabilionea means pesa unazo
sitegemei jibu la "sina" kutoka kwenu kama mnaninyima ninyimeni tu
Ahsanteni.
Shida ya kufa mtu!! au Shida ya pesa?
Ndo nimeshakuja,lakini hakuna kutoa pesa.
Evelyn Salt nipe a/c number nikurushiemo dollar 2000.
Mumeo mtarajiwa Yericko Nyerere naye atakutumia vijisenti shida zote tupa chini !!
honey unasemaje? Yaani ndoa yetu bado changa halafu unaanza kukopesha watu usiowajua.
Ka bdo sealed, ni pm acc yko.
mke wangu Evelyn Salt ujue unanipa aibu kujiombeleza vi million viwili.
embu chukua kadi yangu ya CRDB ipo pale katika droo ya kabati ya nguo zangu ukavute hizo pesa.
utaingiza pass ni 98989
Dah huyu Evelyn Salt amekosa mkopo kaamua kula chaka.
....ni mmwaminifu sana kukopa nakopa kulipa nalipa
ninashida ya kufa mtu, naombeni mnikopeshe milioni mbili
kuhusu namna ya kurejesha tutaongea nikishakopeshwa
Copy kwa mabilionea wa chit chat Bishanga, watu8, Chimbuvu, Madame B, Arushaone, Baba V, Manoah......
Slave kama unayo naomba sitegemei kama utanikopesha wewe
Rejao ulilalamika ulipokosekana kwenye list ya mabilionea means pesa unazo
sitegemei jibu la "sina" kutoka kwenu kama mnaninyima ninyimeni tu
Ahsanteni.
shost umemsahau shemejio loya
ungaekua ushavuta mshiko kitambo
coz hiyo hela kwake ni ya tax tu!!wengine wamefulia!!
Kwa kuwa imeisha... basi tena! nilitaka nikusaidie kukupatia, sio kukupesha!