Nina shida ya millioni 30, naombeni mbinu ya kuzipata

Ukiwa na 60miliion bola Utt na bond za benki kuu kuliko kujenga nyumba.

*Utt na bond za benki kuu ni liquid assets na nyumba ni illiquid assets Sasa ukitaka kuuza nyumba Yako ndani ya muda mfupi say 5 days unaweza shangaa ukauza kwa 40mil ila ukitaka kutoa pesa Yako UTT haitashuka dhamanj .

*umesema Kodi ya nyumba inakupa 500k Kila mwezi, how sure? ingia sokoni uone mziki Kuna miezi utakosa wapangaji so hautapata Tena 500k Kuna kufanya marekebisho ya nyumba Kuna kusumbuana kulipana kutoka kwa wapangaji na Kunawapangaji siyo wahaaminifu wanaweza kutoroka kwako bila kulipaa.. Kodi kwa UTT hakuna kitu kama hicho utapokea 500k each month kama mtumishi wa umma tarehe zikifika automatic pesa inaingia kwenye account Yako Haina haja ya kugombana na watu.

*Kati ya dhamana ya kuwa na BOND ya benkii kuu na nyumba.. ukienda benki kukopa mwenye bond mala nyingi anapewa mkopo kwa haraka sana kuliko mwenye nyumba.. dhamana ya financial assets huwezi kuilinganisha na nyumba.
 
Sasa hapo chance ya kutoboa IPO
kwenye mshahara wako Kila mwezi uwe unaulima 100k unaweka UTT.

Then tafuta black dili kama option ya pili.
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Wazo zuri Asante mkuu
 
Betting
 
Gawio ni zuri mkuu,huko kwenye nyumba kila baada ya muda utahitaji kufanya service..na pia haitakupa guarantee ya vyumba vyote kumi kuwa na wapangangaji miezi yote..
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Wazo zuri Asante mkuu
Umesema ni mwalimu,kwa nini usichukue mkopo hata mil 15, then hyo 15 nyingine udundulize then utumbukize huko UTT.
 
Sawa,nitalifanyia kazi Hilo jambo
 
Kiwanja hapo vipi?
 
Hesabu za kwenye mitandao ya kijamii hizi...yaani utoe 30m kwa ajili ya kununua bajaji madereva hawa wala ndumu walete kila siku 45,000 acha kuwapoteza watu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…