Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
- Thread starter
- #101
Aahaaaa,sawa mkuuOdds kumi na tano tia million 2 fasta tu😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aahaaaa,sawa mkuuOdds kumi na tano tia million 2 fasta tu😂
Hapana utapata kati ya 200k mpaka 300kInamaana nikiweka 30M UTT naweza kupata 500K kwenye gawio kwa mwezi? Nijulishe.
Wazo zuri hiliUza Figo chap kwa haraka
Hapana utakua umesoma haraka, kwa m30 nilisema inanunua bajaj 3 na chenji inabak.Narudia tena hizo biashara za kwenye mitandao na hesabu za humu jaribu kuwa na hilo Fusso uje na hesabu hapa za kwenye mitandao uone wastaafu wengi wanaingia kwenye hesabu zenu na kuishia kufa kwa Stroke maana hakuna hesabu za fedha mnazowapa baada ya kuwekeza huo uwekezaji wenu wa 45,000 tsh ilete bajaji moja kwa siku...
Fanya mawasiliano na JITU BANDIA Atakupa mwongozoNataka ninunue vipande UTT au niweke fixed account Ili nipate "mshahara" wa Kila mwezi kupitia gawio la mwezi.
Nikipata 500k kwenye gawio Kwa mwezi itatatosha maana tayari nina njia zingine za kuniingizia mia mbili mia tatu.
Nataka nikafanye mambo mengine huku nikiwa na sure na cashflow kwa ajili ya familia na watoto.
Natanguliza shukrani.
Mara mia niizike huko kuliko kuiweka benk ili niwe napata riba, kwangu mimi naona ni udumavu wa ubongo.Kwenye hiyo 45000 umepiga garama za uchakavu? Usimamizi nk?
Kama kweli itazaa 500k Kwenye UTT kwa mwezi nitashauri .. mdau u focus huko
Sawa,mkuuFanya mawasiliano na JITU BANDIA Atakupa mwongozo
Nishagonga likeMara mia niizike huko kuliko kuiweka benk ili niwe napata riba, kwangu mimi naona ni udumavu wa ubongo.
Ngoja nikuuzie idea ukienda kuifanyia kazi 95% unatoboa.
Nakuuzia sikupi bure.!
note: utanilipa baada ya kufanikiwa sana.
Kama upo tayari gonga like ili twende sawa.!! [emoji817]
Sasa unafuta ili iweje?Kuna utajiri mkubwa sana katika mifugo.
Nini cha kufanya,
Kama upo jijini, toka nje ya mji/mkoani, nunua tu ng'ombe tudogo tunato gharimu laki 2.5 kushuka chini mpaka twa laki moja.
Sijajua utapata kiasi gani kulingana na mtaji wako, then tafuta kijana mdogo awachunge huku unawalisha supplements like mashudu, pumba na madini.
Maximum baada ya miaka 2 utawauza si chini ya mil 1.
Wewe ni another rich man in town.
Kumbuka, unaweza kuchanganyia na mbuzi ambao nao wana super profit pia hasa miaka hii mboga itokanayo na damu supply imekua ndogo kuliko demand.
Kila la kheri, copy maana soon nafuta.
[emoji3][emoji3]Iyo mbona mkeka mmoja tu.
Sawa,Sasa unafuta ili iweje?
Yaani hili ndiyo wazo unahangaisha watu unasema utafuta?
Halafu inaonekana wazo lenyewe hujawahi kulifanyia kazi ukajua ghalama za uendeshaji zitakuwaje ndani ya hiyo miaka 2.
Ni wazo la kawaida na siyo wazo bora sana hata utishie watu eti unalifuta.
Shukrani mkuuKuna utajiri mkubwa sana katika mifugo.
Nini cha kufanya,
Kama upo jijini, toka nje ya mji/mkoani, nunua tu ng'ombe tudogo tunato gharimu laki 2.5 kushuka chini mpaka twa laki moja.
Sijajua utapata kiasi gani kulingana na mtaji wako, then tafuta kijana mdogo awachunge huku unawalisha supplements like mashudu, pumba na madini.
Maximum baada ya miaka 2 utawauza si chini ya mil 1.
Wewe ni another rich man in town.
Kumbuka, unaweza kuchanganyia na mbuzi ambao nao wana super profit pia hasa miaka hii mboga itokanayo na damu supply imekua ndogo kuliko demand.
Kila la kheri, copy maana soon nafuta.
Mkuu, mbona hii simple sana.Nataka ninunue vipande UTT au niweke fixed account Ili nipate "mshahara" wa Kila mwezi kupitia gawio la mwezi.
Nikipata 500k kwenye gawio Kwa mwezi itatatosha maana tayari nina njia zingine za kuniingizia mia mbili mia tatu.
Nataka nikafanye mambo mengine huku nikiwa na sure na cashflow kwa ajili ya familia na watoto.
Natanguliza shukrani.
Amina, nikuondoe wasiwasi.Shukrani mkuu
Mkuu shukrani Kwa ushauri wako,Mkuu, mbona hii simple sana.
Huku Tanga, kule kwenye jimbo la Mwana FA (Muheza), nasikia kuna babu mmoja ana beberu lake kubwa mithili ya nyati.
Ukitaka utajiri, hilo beberu linakuzagamua kila ijumaa. Yani hiyo mill 30 mbona ndogo.
Tena likikuzagamua likakutoa damu hela zinaongezeka maradufu.
Karibu nikupeleke mkuu.
Vijana wa siku hizi sijui mmekuaje! Yani unakuja huku jukwaani unawaomba kabisa wadau wakupe mbinu ya kupata kiasi hicho cha fedha bila kukitolea jasho! Kweli?
So sad.
Haa OK sawa wapo watakaofanya hizo wacha sisi wazee wa boda to boda tuendelee na harakati zetu...Hapana utakua umesoma haraka, kwa m30 nilisema inanunua bajaj 3 na chenji inabak.
Hizo bajaji 3 nimeweka kila bajaji rejesho la 15 elfu badala ya 20 elfu ambayo kwa bajaji 3 unaingiza 45 elfu kwa siku halafu kwa mwezi unapata 1,350,000.
Cancel hiyo 350,000 kwa ajili ya weekly service n. K unabakiwa na m1 nzima kwa mwezi tofauti na laki 5
Hahah yaan anachekesha,hajui presha ya biashara ya vyombo vya moto..mara mia uweke huko UTT u relax kwa kwel,hata ukifa kizaz chako kitaendelea kujichukulia faida,na kizaz na kizaz ,no kutoa pesa,ni kuchukua faida tu,without presha and stressSasa unafuta ili iweje?