Ukiwa na 60miliion bola Utt na bond za benki kuu kuliko kujenga nyumba.
*Utt na bond za benki kuu ni liquid assets na nyumba ni illiquid assets Sasa ukitaka kuuza nyumba Yako ndani ya muda mfupi say 5 days unaweza shangaa ukauza kwa 40mil ila ukitaka kutoa pesa Yako UTT haitashuka dhamanj .
*umesema Kodi ya nyumba inakupa 500k Kila mwezi, how sure? ingia sokoni uone mziki Kuna miezi utakosa wapangaji so hautapata Tena 500k Kuna kufanya marekebisho ya nyumba Kuna kusumbuana kulipana kutoka kwa wapangaji na Kunawapangaji siyo wahaaminifu wanaweza kutoroka kwako bila kulipaa.. Kodi kwa UTT hakuna kitu kama hicho utapokea 500k each month kama mtumishi wa umma tarehe zikifika automatic pesa inaingia kwenye account Yako Haina haja ya kugombana na watu.
*Kati ya dhamana ya kuwa na BOND ya benkii kuu na nyumba.. ukienda benki kukopa mwenye bond mala nyingi anapewa mkopo kwa haraka sana kuliko mwenye nyumba.. dhamana ya financial assets huwezi kuilinganisha na nyumba.