Nina shida ya millioni 30, naombeni mbinu ya kuzipata

Somo zuri sana
 
Kwenye hiyo 45000 umepiga garama za uchakavu? Usimamizi nk?
Kama kweli itazaa 500k Kwenye UTT kwa mwezi nitashauri .. mdau u focus huko
 
Hesabu za kwenye mitandao ya kijamii hizi...yaani utoe 30m kwa ajili ya kununua bajaji madereva hawa wala ndumu walete kila siku 45,000 acha kuwapoteza watu...
Tena hiyo nimepiga hesabu minimum.!

Ukiamua kuwekeza kwenye biashara utaajir mpaka vichaa imladi wanakuletea pesa.

Nenda kawafanyie utafit madereva fuso, bus hauta amini lkn ndo wanakuendeshea biashara.
 
Tafuta eneo lima bange heka tano tu milion kama mbili gharama za ulimaji hivi kisha tafuta milioni mbili tena iweke ajiri ya kulitunza shamba, shamba la bange linatunzwa kitamaduni elewa kitamaduni, ukivuna hapo hiyo pesa unayoitaka ndogo
 
Tafuta eneo zuri fungua kibanda cha uwakala wa mitandao ya simu na bank mbalimbali kwa hiyo hela utapata si chini ya Milion 6 kwa mwezi kama utapata eneo zuri
 
Cc: Kajala
 
Tena hiyo nimepiga hesabu minimum.!

Ukiamua kuwekeza kwenye biashara utaajir mpaka vichaa imladi wanakuletea pesa.

Nenda kawafanyie utafit madereva fuso, bus hauta amini lkn ndo wanakuendeshea biashara.
Narudia tena hizo biashara za kwenye mitandao na hesabu za humu jaribu kuwa na hilo Fusso uje na hesabu hapa za kwenye mitandao uone wastaafu wengi wanaingia kwenye hesabu zenu na kuishia kufa kwa Stroke maana hakuna hesabu za fedha mnazowapa baada ya kuwekeza huo uwekezaji wenu wa 45,000 tsh ilete bajaji moja kwa siku...
 
Tafuta eneo lima bange heka tano tu milion kama mbili gharama za ulimaji hivi kisha tafuta milioni mbili tena iweke ajiri ya kulitunza shamba, shamba la bange linatunzwa kitamaduni elewa kitamaduni, ukivuna hapo hiyo pesa unayoitaka ndogo
Aahaaaaa,sawa mkuu
 
Inamaana nikiweka 30M UTT naweza kupata 500K kwenye gawio kwa mwezi? Nijulishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…