Nina shida ya millioni 30, naombeni mbinu ya kuzipata

Nina shida ya millioni 30, naombeni mbinu ya kuzipata

Natumia bank za ndani kuweka na kutoa pesa za forex.. natumia equity bank Tena Nina account ya USD bank, Haina shida kabisa
Au unaogopa kesi za kutakatisha pesa chafu?
Charges za usd account zipoje hapo equity?

Mimi nina account ya shilingiza kwetu tu
 
Back
Top Bottom