TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,199
- 3,307
- Thread starter
-
- #361
Daaaahhh!! You lost 400m? Noma sana aisee.Biashara yeyeto na mswahili usiyokuwa nayo karibu kwa siku hesabu maumivu. Mimi nimepoteza jumla ya milioni 400 sababu sikuwa na mda
Ndogo hio muhimu afya,mpambanaji achokiDaaaahhh!! You lost 400m? Noma sana aisee.
Asante sana mkuu.Na 2 na 4 ni nzuri.
1.zinalinda mtaji
2.Wateja ni uhakika
Kama huna changamoto za usimamiaji fanya no 2 kwanza then mapato fanya no 4.
Kama mda wa kusimamia ni tatizo jenga za kupangisha zitakuokoa wakati wa shida.
Wakati wa shida ni upi
1.Kamba kukatika kazini
2.kusimamishwq Kazi
3.kufukuzwa
4.ulemavu nk
Ushauri kama una pesa fanya maendeleo haraka sana kabla ujaingia kwenye ndoa, kufanikiwa kwenye ndoa utegemea na utulivu wa mke
Sijaelewa mkuuUshauri likes 26 utafakari
Ku comment sio lazima mkuu, unaweza ukawa msomaji tu.Uliziokota mpaka zikose mpango kazi?
Asante sana mkuu, nitafuatiliaKuna eneo la kutosha nje ya mji Chiwondo karibu na Segu - NALA litakufaa kwa ajili ya ufugaji. Pia mahali nilipo hakuna Hardware ya mbao ni takribani vijiji vitatu vinafuata hiyo huduma Dodoma mjini.. ikitokea umeweka hardware ya mbao umeula, umeme upo maji yapo usafiri sio tabu.
Karibu sana na wewe ktk ufugaji.Mmmh abarikiwe sana eeeh [emoji1787][emoji1787]
Mimi sikujibu [emoji38]Petrol station ya 150M?? Huwezi jenga labda apange
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Atleast mlikua na ndoto kubwa,tena hamkuishia kwenye makaratasi mkaenda hadi kwenye ofisi za TOTAL!!.kwa hili nawapongeza sanaKipindi tuna hangaika na maisha mimi na jamaa yangu tukaandika wazo la kuwa na kituo cha mafuta! Eti tukopeshwe na bank, halafu tuwe tunanunua mafuta TOTAL! Masharti tuliyokutana nayo tulitamani kulia! Yaani ni zaidi ya 500M ndiyo unaweza miliki kituo cha mafuta, na hapo umeweka pump ngapi?? Tuliishia kunywa maji kwenye spenser za ofisi za TOTAL nakurudi getho kulala
Yeah ukaangalia kwa kawaida 500m ni parefuMkuu Mapambano bado yanaendelea
1. COCO =Company Own, Company! Operate!
2. CODO =Company Own, Dealer Operate!
3. DODO =Dealer Operate,Dealer Own!
Hapo kwenye CODO ndiyo tuliambiwa ili uweze walau kuwa na kituo! Uwe na Capital si chini ya 500M, hiyo 500M ni kwa ajiri yakununua mafuta tu! Sasa hapo hujajenga kituo mtaji wake si utakua mkubwa zaidia ya hapo!
Unabisha nin mkuu wakati miniko nakituo Cha mafutaPetrol station ya 150M?? Huwezi jenga labda apange
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Anhaa inakua kama franchise flani hiviBrand ya TOTAL, mafuta unachukua TOTAL, kitup cha TOTAL, wewe pale unakua mpangaji tu! Unakua unapata % flan kutoka kwenye kila lita ya mafufa unayouza Mkuu
We usijaribu hii biashara tafadhari...Asante kwa wazo.
64m napata Fuso la kuanzia? Na je, Fuso moja inaweza nipa return nzuri ya kuonekana? Unaweza nipa insights zaidi?
Hapana sio lazima hivo vingine viwepo Kama supermarket car wash maana Kuna leseni za Aina mbili Petro station na filling station au service station hiyo Petro station ndo inainclude sijui car wash supermarket.mgahawa nakadhalikaMkuu twende kisomi!
Petral Station inatakiwa kua na
1. Car Wash
2. Super market
3. Tanks zakuweka chini
4. Paa la kituo
5. Vibali kutoka NEMC, wakala wa vipimo
6. Na mambo mengine mengi
Mkuu mim nna petrol station unaweza kuwa leseni ya petrol station Ila we ukawa na vitu muhimu tu kwanza ofisi canopy generator pumpu hayo mange ukayaweka baadae sjui ya super market car wash sababu unaeneo kubwa ndo maana unaona mjini vituo vya makampuni makubwa kituo kipo kwenye eneo dogo tu yehutoa huduma ya mafuta tuOkay wewe una filling station sasa na sio petrol station! Which is mara nyingi unajenga vijijini na target kubwa yako ni boda boda
Na unaweza kua na pump moja tu!