Nina shilingi milioni 64, niwekeze kwenye biashara gani kati ya hizi?

Naona uanze na kununua eneo nje ya mji kidogo ufanye ufugaji hata huo wa mbuzi ila unaweza kuweka aina nyingine ya mifugo kama kuku wa mayai pamoja na nguruwe km imani inaruhusu. Note usimamizi wako muhimu sana
 
😂😂😂😂
 
We usijaribu hii biashara tafadhari...

Jenga nyumba ya wapangaji au fuga mbuzi maana bei zake zinapaa kila siku
Hahahaha...!! Sawa mkuu, inaonekana hii biashara ya usafirishaji ni kichaa tupu, maana wengi wenye uzoefu nayo wamenishauri niachane nayo kwanza inahitaji usimamizi wa karibu sana na ina headache. Asante.
 
Dodoma kina uhitaji mkubwa sana wa mbao za aina zote. Nunua eneo lako labda (40*40)m halafu nenda iringa katafute mbao(kama unapasulisha mwenyewe au unanunua) itakulipa sana
Asante sana mkuu kwa ushauri, wacha nifanye utafiti zaidi kuhusu hii.
 
Naona uanze na kununua eneo nje ya mji kidogo ufanye ufugaji hata huo wa mbuzi ila unaweza kuweka aina nyingine ya mifugo kama kuku wa mayai pamoja na nguruwe km imani inaruhusu. Note usimamizi wako muhimu sana
Asante sana mkuu. Naendelea kufuatilia zaidi kuhusu ufugaji hasa wa mbuzi, na tayari nimepanga kwenda kuwatembelea wafugaji kadhaa kujifunza kwa vitendo.
 
Kwenye usimamizi ni heri apate farm manager mwenye elimu ya ufugaji
 
Hongera mkuu una kazi nzuri sana .
mm bdo sina mishe ila nimebobea kwenye uchumi ningependa kukushauri katka hya yafuatayo ukayafanyie tafiti kwa kina mkuu

1.Angalia location nzuri then nunua ardhi thamani ya ardhi ikipanda uje upush mbeleni.pindi unasubili thamani yake ipande hyo maeneo uwe unafanyia shughuli mbalimbali ikiwemo ufugaki wa samaki ,kilimo na mifugo.
2. wekeza kiasi cha fedha kwenye hati fungani UTT,NBC ,nk kwa usalama wa mtaji wako, hii mifuko inasaidia kuepukana na risk prone za biashara

3.Tafuta kibali ,fanya tafiti ingia kwenye biashara ya ukopeshaji wa fedha

4. Wekeza kwenye biashara za starehe mfano lodge,bar,kigrosali cha vinwaji hapa kwanje unaweza weka na mashine za kamali,kubeti.

5.kule songwe /chunya ukijenga plants kila mteja anapoleta mzigo wa marudio ya dhahabu kuchenjua kwako anakulipa 3M costant. umiliki wa plant hauna risk sana ukilinganisha na ununuzi wa madini na kuendesha gharama za uchimbaji.

6.Tafuta vijana wa train ,ama jiridhishe na mazao ambayo sokoni bei yake iko juu then ingia kununua mazao ya kilimo. mfano wakulima kipindi cha mavuno bei huwa chini sana but soon baada ya mavuno kuisha bei za mazao huwa juu sana. so nakushauri nunua mazao kwa wakulima ,store then push huo mtaji wako utakua sana.

ni hayo tu chief
 
Hahahaha...!! Sawa mkuu, inaonekana hii biashara ya usafirishaji ni kichaa tupu, maana wengi wenye uzoefu nayo wamenishauri niachane nayo kwanza inahitaji usimamizi wa karibu sana na ina headache. Asante.
Kuna uncle wangu alikufa kwa pressure kisa gari lake moja lilipiga mzinga na lingine likahitaji kushushwa engine, kuagiza engine ikakamatwa bandarini.....kufupisha habari hapo awali hakuwa na BP lakini ili muua 😥😥😥
 

Fungua mgawaha wa standard unaeza kutumia hta milion 30 na nyengine ukasave
Tafuta eneo ambalo ni standard kma hospital au eneo tu lenye mkusanyiko wa watu tafuta vijana baadh na cashier mmoja niamini utaingiza sio chini ya milion au zaid ikiwa utapta eneo zuri

Engine funguo kampuni za mikopo ya kulipa kwa riba unamueka mtu wa kumuamini unapga hela
Nunua gari ifanye ubber huku unaenda na shughuli zako kwa sku hukosi buku 40

Angalia chepes kwako ni mawazo tu
 
Hiyo namba 4 itakufaa sana, hakuna tena mjadala uzi ufute tu.
 
Kuna biashara ya kipuuzi ila inampunga balaa CHAKULA cha mifugo#asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…