Nina shilingi milioni 64, niwekeze kwenye biashara gani kati ya hizi?

Duh haya
 
Kaka mbuzi usiwaguse Fanya hizo za nyumba dodoma zinalipa sana,mbuzi ifanye baadae sana utasaga meno broohh!usimamizi,wizi n.k
 
Namba 1 au jenga nyumba uweke wapangaji
Faida itayopatikana weka ujenge park ya michezo

Kama umeoa mshirikishe mkeo achague pia
Walioshirikisha wake zao kwenye biashara wengi wameangukia pua, Matajiri wengi ni bandidu anaamka asubuhi ameanzisha mradi,familia inapewa taarifa tu.

Ukianza mambo ya ku romanticize na mke hutoboi hata kidogo. Wakina mama tunawapenda lakini wameumbwa kupewa taarifa ya maamuzi ili wao waseme Wow wow you have made it my.....
 
Sio wote mkuuu kumshirikisha mkeo akupe wazo au akusaidie kuchagua wazo sio mbaya

Ila kama mkeo hana hobby na biashara ukampeleka kwenye biashara yako asimamie hesabu kama imekufa😀😀😀😀
 
Sio wote mkuuu kumshirikisha mkeo akupe wazo au akusaidie kuchagua wazo sio mbaya

Ila kama mkeo hana hobby na biashara ukampeleka kwenye biashara yako asimamie hesabu kama imekufa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tatizo la akina mama kabla Hata hujaleta mzigo akina mama hadija wote walishajua kila kitu alafu Kuna biashara lazima uweke mabinti wazuri,wenye lugha nzuri,sasa Hawa wake zetu wataanza kuleta ghubu, ukiongea nao wanaanza kuwamiss treat wakitaka waonekane yeye ni mke na Wengine ni wafanya kazi.mwisho wafanyakazi hasa mabinti wanakuja hawako free kufanya mambo Yao na kazi Kwa ujumla.mimi Kwa kweli wife labda nimpe project yake tusiingikiane kabisa
 
Ndo unajidanganya hivo

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Odd moja tu!! kila wiki, hio hela bilioni mwisho wa mwaka
 
Sambaza samaki wabichi mkoa wa Dodoma Wote . Njoo nikuoneshe chimbo la kuchukua Mzigo wa burebure. Uhakika wa kuingiza Milioni 40 Kila mwezi.
 
Acha theory mingi mingi Boss,
Watu wamekua wakubwa ujue na wengine wako kwenye mounga huo unaofundisha hapa longo longo
 
Kama upo Dodoma jenga tu Lodge. Bado kuna uhitaji. Kuna nyakati mikutano ya CCM inagongana na mikutano mingine kama ya waalimu huwa inakuwa balaa. Shusha lodge ya kisasa.
 
Acha ujinga
 
Mkuu kma upo ddm njoo nikupeleke ka sehemu fln hapa ilazo ukaitazme unaweza kuwekeza apathment ilazo itakujakuwa kama masaki au mbezi badaae miaka mitano

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Acha theory mingi mingi Boss,
Watu wamekua wakubwa ujue na wengine wako kwenye mounga huo unaofundisha hapa longo longo

Kunatofauti kati ya kulima na kuweka mpunga :sasasijajua unataka kusema nini kati ya hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…