Nina shilingi milioni 64, niwekeze kwenye biashara gani kati ya hizi?

Habarini wakuu. Natumaini mnaendelea vizuri na maandalizi ya sikukuu.

Bila kuwachosha sana, nimeweza ku save jumla ya shilingi milioni 64 hadi sasa, kiasi hiki nimeweza kukisave kuanzia mwezi April mwaka huu kutoka kwenye mshahara wangu. Nipo mkoa wa Dodoma.

So far, nimefikiria kuwekeza katika mojawapo ya mambo yafuatayo:

1. Ninunue eneo la shamba kubwa maeneo ya Dodoma nje ya mji au Dodoma vijijini kisha nianzishe kama ranchi hivi ya ufugaji wa mbuzi.

Nimefikiria mbuzi kwa sababu kwa utafiti wangu wa muda mfupi nimeona kuwa mbuzi hawana complications nyingi kulinganisha na wanyama wengine wa kufuga, na pia kuna fursa zaidi kwa mbuzi nchini, na demand ambayo haijawa satsified.

Lengo la hii ni baadae niweze kuwa na kiwanda kabisa cha kuchinja na kuprocess nyama ya mbuzi, na kuweza hata kuuza ndani na nje ya nchi products za nyama ya mbuzi.

2. Nifungue park kwa ajili ya michezo ya watoto kwa Dodoma. Moja ya gaps ambazo nimeziona Dodoma ni kukosekana kwa eneo zuri la maana kwa ajili ya michezo ya watoto na watu kupumzika pia.

Hapa nafikiria ninunue eneo Dodoma then nilitengeneze vizuri na kuweka michezo ya watoto (indoor na outdoor) ya kutosha, pamoja na kutengeneza garden nzuri ya kuvutia kwa ajili ya watu na familia zao kupumzika na kupigia picha.

Kwa nje kwenye ukuta nawaza pia kuwe na frame kadhaa ambazo nitakodisha kwa watu waweke maduka ya vyakula, vinywaji, na vitu vya watoto.

3. Nifungue kiwanda cha maji ya kunywa yale ya kwenye dispenser kwa ajili ya matumizi ya majumbani na maofisini. Nimeona gap pia hapa kwa sababu makampuni yaliyopo hapa Dodoma kwa hii huduma hayatoshelezi mahitaji kwa kiasi kikubwa, mara nyingi sana unakuta yanapotea sokoni kwa muda fulani (no consistency of supply).

4. Ninunue kiwanja saizi ya kati maeneo ambayo sasa hivi ndo yanajengeka (eg Ilazo, NALA) halafu nipige vyumba vya low-cost (behewa style), niweke hapo vyumba kadhaa, then nipangishe nile kodi kila mwezi hata 50K kwa kila room. Baadae kadri ninavyopata mpunga zaidi, niongeze idadi ya vyumba zaidi na zaidi.

Wenye uzoefu wa biashara na ideas na mnaoifahamu Dodoma, niambieni hapo nianze na ipi kati ya hizo kwa mtaji huu nilionao (milioni 64), au hata idea nyingine ambayo sijaitaja hapo juu.

Mimi maisha yangu yote nimeajiriwa tu hadi sasa (nina umri wa miaka 35). Sijawahi kufanya buashara hata ya kuingiza shs 500. Nimeona ni bora pia niangalie upande huu wa business pia maana siwezi ajiriwa milele, na pia kama mjuavyo hizi ajira zetu, leo ipo kesho haipo hasa huku private sector.

Natanguliza shukrani.
Duh haya
 
Kaka mbuzi usiwaguse Fanya hizo za nyumba dodoma zinalipa sana,mbuzi ifanye baadae sana utasaga meno broohh!usimamizi,wizi n.k
 
Namba 1 au jenga nyumba uweke wapangaji
Faida itayopatikana weka ujenge park ya michezo

Kama umeoa mshirikishe mkeo achague pia
Walioshirikisha wake zao kwenye biashara wengi wameangukia pua, Matajiri wengi ni bandidu anaamka asubuhi ameanzisha mradi,familia inapewa taarifa tu.

Ukianza mambo ya ku romanticize na mke hutoboi hata kidogo. Wakina mama tunawapenda lakini wameumbwa kupewa taarifa ya maamuzi ili wao waseme Wow wow you have made it my.....
 
Walioshirikisha wake zao kwenye biashara wengi wameangukia pua, Matajiri wengi ni bandidu anaamka asubuhi ameanzisha mradi,familia inapewa taarifa tu. Ukianza mambo ya ku romanticize na mke hutoboi hata kidogo. Wakina mama tunawapenda lakini wameumbwa kupewa taarifa ya maamuzi ili wao waseme Wow wow you have made it my.....
Sio wote mkuuu kumshirikisha mkeo akupe wazo au akusaidie kuchagua wazo sio mbaya

Ila kama mkeo hana hobby na biashara ukampeleka kwenye biashara yako asimamie hesabu kama imekufa😀😀😀😀
 
Sio wote mkuuu kumshirikisha mkeo akupe wazo au akusaidie kuchagua wazo sio mbaya

Ila kama mkeo hana hobby na biashara ukampeleka kwenye biashara yako asimamie hesabu kama imekufa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tatizo la akina mama kabla Hata hujaleta mzigo akina mama hadija wote walishajua kila kitu alafu Kuna biashara lazima uweke mabinti wazuri,wenye lugha nzuri,sasa Hawa wake zetu wataanza kuleta ghubu, ukiongea nao wanaanza kuwamiss treat wakitaka waonekane yeye ni mke na Wengine ni wafanya kazi.mwisho wafanyakazi hasa mabinti wanakuja hawako free kufanya mambo Yao na kazi Kwa ujumla.mimi Kwa kweli wife labda nimpe project yake tusiingikiane kabisa
 
Kama uko intrested kuna issue ya kununua mazoa pindi mavuno na kuuza mavuno ya kiisha.hapa twende na mpunga unanunua mavuno unauza Christmas na pasaka huko unapiga hela bila stress na kod zakijinga jinga na hakuna anayejua kuwa umewekeza kwenye mpunga mwaka 2021 watu walinunu ampunga kwa shilinga 45 mpka 50 wakat wa mavuno wakaja kuuza 100k kwa . Na mwaka jana 2022 mpunga uliinza bei juu kidogo kwa 100k kwa gunuia lakini saiv hivi ni 150K kwa gunia kwahyo hapo watu wamepiga hela ndefu sana na advantage ya mpunga hauhalibiki wala kuliwa na wadudu kama mazao mengine kuna mwamba mwanangu mwaka 2021 aliweka M18 akaja kutoa 36 mimi naona kwakuwa nilishiriki na akasema angejua angetia mzigo mrefu ingekuwa her zaidi :sasa kubwa kuliko kuna mama mmoja huku anakibunda hatar anawekaga had gunia8000 hapo tunazngumzia zaidi ya Million500 akaja akipiga zaidi ya Billionai coz mwaka 2021 na 2022 mpunga umeshoot sana watu walikuwa wanapasua mara mbili kwakile ulichowekeza kunamwamba aliweka gunia 20000 chimala mwaka 2021 alitumia kwa wastani millon 900 akaja kutoa zaidi ya Billion 1.8 na kama umesikia mchele ulivyogarama had saiv ndio watu walivyopiga hela na wanazid kupiga hela coza hapo kushuka mpaka waje kuvuna tena kwanzia mwezi wa sita au wa nne mwishoni kuelekea watano na wasita .bongo kunawatu ni low key au low profile ila wanafunga na faida kubwa sana kwa mwaka na wapo kama hawapo. Nadhani umepata kitu Mkuu yangu ni hayo rice [emoji500] on demand
Ndo unajidanganya hivo

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Habarini wakuu. Natumaini mnaendelea vizuri na maandalizi ya sikukuu.

Bila kuwachosha sana, nimeweza ku save jumla ya shilingi milioni 64 hadi sasa, kiasi hiki nimeweza kukisave kuanzia mwezi April mwaka huu kutoka kwenye mshahara wangu. Nipo mkoa wa Dodoma.

So far, nimefikiria kuwekeza katika mojawapo ya mambo yafuatayo:

1. Ninunue eneo la shamba kubwa maeneo ya Dodoma nje ya mji au Dodoma vijijini kisha nianzishe kama ranchi hivi ya ufugaji wa mbuzi.

Nimefikiria mbuzi kwa sababu kwa utafiti wangu wa muda mfupi nimeona kuwa mbuzi hawana complications nyingi kulinganisha na wanyama wengine wa kufuga, na pia kuna fursa zaidi kwa mbuzi nchini, na demand ambayo haijawa satsified.

Lengo la hii ni baadae niweze kuwa na kiwanda kabisa cha kuchinja na kuprocess nyama ya mbuzi, na kuweza hata kuuza ndani na nje ya nchi products za nyama ya mbuzi.

2. Nifungue park kwa ajili ya michezo ya watoto kwa Dodoma. Moja ya gaps ambazo nimeziona Dodoma ni kukosekana kwa eneo zuri la maana kwa ajili ya michezo ya watoto na watu kupumzika pia.

Hapa nafikiria ninunue eneo Dodoma then nilitengeneze vizuri na kuweka michezo ya watoto (indoor na outdoor) ya kutosha, pamoja na kutengeneza garden nzuri ya kuvutia kwa ajili ya watu na familia zao kupumzika na kupigia picha.

Kwa nje kwenye ukuta nawaza pia kuwe na frame kadhaa ambazo nitakodisha kwa watu waweke maduka ya vyakula, vinywaji, na vitu vya watoto.

3. Nifungue kiwanda cha maji ya kunywa yale ya kwenye dispenser kwa ajili ya matumizi ya majumbani na maofisini. Nimeona gap pia hapa kwa sababu makampuni yaliyopo hapa Dodoma kwa hii huduma hayatoshelezi mahitaji kwa kiasi kikubwa, mara nyingi sana unakuta yanapotea sokoni kwa muda fulani (no consistency of supply).

4. Ninunue kiwanja saizi ya kati maeneo ambayo sasa hivi ndo yanajengeka (eg Ilazo, NALA) halafu nipige vyumba vya low-cost (behewa style), niweke hapo vyumba kadhaa, then nipangishe nile kodi kila mwezi hata 50K kwa kila room. Baadae kadri ninavyopata mpunga zaidi, niongeze idadi ya vyumba zaidi na zaidi.

Wenye uzoefu wa biashara na ideas na mnaoifahamu Dodoma, niambieni hapo nianze na ipi kati ya hizo kwa mtaji huu nilionao (milioni 64), au hata idea nyingine ambayo sijaitaja hapo juu.

Mimi maisha yangu yote nimeajiriwa tu hadi sasa (nina umri wa miaka 35). Sijawahi kufanya buashara hata ya kuingiza shs 500. Nimeona ni bora pia niangalie upande huu wa business pia maana siwezi ajiriwa milele, na pia kama mjuavyo hizi ajira zetu, leo ipo kesho haipo hasa huku private sector.

Natanguliza shukrani
Odd moja tu!! kila wiki, hio hela bilioni mwisho wa mwaka
 
Sambaza samaki wabichi mkoa wa Dodoma Wote . Njoo nikuoneshe chimbo la kuchukua Mzigo wa burebure. Uhakika wa kuingiza Milioni 40 Kila mwezi.
 
Kama uko intrested kuna issue ya kununua mazoa pindi mavuno na kuuza mavuno ya kiisha.hapa twende na mpunga unanunua mavuno unauza Christmas na pasaka huko unapiga hela bila stress na kod zakijinga jinga na hakuna anayejua kuwa umewekeza kwenye mpunga mwaka 2021 watu walinunu ampunga kwa shilinga 45 mpka 50 wakat wa mavuno wakaja kuuza 100k kwa . Na mwaka jana 2022 mpunga uliinza bei juu kidogo kwa 100k kwa gunuia lakini saiv hivi ni 150K kwa gunia kwahyo hapo watu wamepiga hela ndefu sana na advantage ya mpunga hauhalibiki wala kuliwa na wadudu kama mazao mengine kuna mwamba mwanangu mwaka 2021 aliweka M18 akaja kutoa 36 mimi naona kwakuwa nilishiriki na akasema angejua angetia mzigo mrefu ingekuwa her zaidi :sasa kubwa kuliko kuna mama mmoja huku anakibunda hatar anawekaga had gunia8000 hapo tunazngumzia zaidi ya Million500 akaja akipiga zaidi ya Billionai coz mwaka 2021 na 2022 mpunga umeshoot sana watu walikuwa wanapasua mara mbili kwakile ulichowekeza kunamwamba aliweka gunia 20000 chimala mwaka 2021 alitumia kwa wastani millon 900 akaja kutoa zaidi ya Billion 1.8 na kama umesikia mchele ulivyogarama had saiv ndio watu walivyopiga hela na wanazid kupiga hela coza hapo kushuka mpaka waje kuvuna tena kwanzia mwezi wa sita au wa nne mwishoni kuelekea watano na wasita .bongo kunawatu ni low key au low profile ila wanafunga na faida kubwa sana kwa mwaka na wapo kama hawapo. Nadhani umepata kitu Mkuu yangu ni hayo rice [emoji500] on demand
Acha theory mingi mingi Boss,
Watu wamekua wakubwa ujue na wengine wako kwenye mounga huo unaofundisha hapa longo longo
 
Kama upo Dodoma jenga tu Lodge. Bado kuna uhitaji. Kuna nyakati mikutano ya CCM inagongana na mikutano mingine kama ya waalimu huwa inakuwa balaa. Shusha lodge ya kisasa.
 
Acha ujinga
Kama uko intrested kuna issue ya kununua mazoa pindi mavuno na kuuza mavuno ya kiisha.hapa twende na mpunga unanunua mavuno unauza Christmas na pasaka huko unapiga hela bila stress na kod zakijinga jinga na hakuna anayejua kuwa umewekeza kwenye mpunga mwaka 2021 watu walinunu ampunga kwa shilinga 45 mpka 50 wakat wa mavuno wakaja kuuza 100k kwa . Na mwaka jana 2022 mpunga uliinza bei juu kidogo kwa 100k kwa gunuia lakini saiv hivi ni 150K kwa gunia kwahyo hapo watu wamepiga hela ndefu sana na advantage ya mpunga hauhalibiki wala kuliwa na wadudu kama mazao mengine kuna mwamba mwanangu mwaka 2021 aliweka M18 akaja kutoa 36 mimi naona kwakuwa nilishiriki na akasema angejua angetia mzigo mrefu ingekuwa her zaidi :sasa kubwa kuliko kuna mama mmoja huku anakibunda hatar anawekaga had gunia8000 hapo tunazngumzia zaidi ya Million500 akaja akipiga zaidi ya Billionai coz mwaka 2021 na 2022 mpunga umeshoot sana watu walikuwa wanapasua mara mbili kwakile ulichowekeza kunamwamba aliweka gunia 20000 chimala mwaka 2021 alitumia kwa wastani millon 900 akaja kutoa zaidi ya Billion 1.8 na kama umesikia mchele ulivyogarama had saiv ndio watu walivyopiga hela na wanazid kupiga hela coza hapo kushuka mpaka waje kuvuna tena kwanzia mwezi wa sita au wa nne mwishoni kuelekea watano na wasita .bongo kunawatu ni low key au low profile ila wanafunga na faida kubwa sana kwa mwaka na wapo kama hawapo. Nadhani umepata kitu Mkuu yangu ni hayo rice [emoji500] on demand
 
Mkuu kma upo ddm njoo nikupeleke ka sehemu fln hapa ilazo ukaitazme unaweza kuwekeza apathment ilazo itakujakuwa kama masaki au mbezi badaae miaka mitano

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Acha theory mingi mingi Boss,
Watu wamekua wakubwa ujue na wengine wako kwenye mounga huo unaofundisha hapa longo longo

Kunatofauti kati ya kulima na kuweka mpunga :sasasijajua unataka kusema nini kati ya hapo
 
Back
Top Bottom