Nina shilingi milioni 64, niwekeze kwenye biashara gani kati ya hizi?

Hawezi goba na madake sqm 1 sio chini ya 45,000 mpaka 50,000 yaani 20x 20 ni 20m, anabakia na 44m, hii haitoshi kujenga na kumaliza....
 
Very true ...lazima uwe imara kweli kweli ukileta uzungu uzungu kwenye biashara za kitanzania hutoboi coz ukizubaa tuu unaibiwa

Wafanyakazi wengi ni wapigaji ..nao wana chase dreams zao
 
Asante kwa wazo.
64m napata Fuso la kuanzia? Na je, Fuso moja inaweza nipa return nzuri ya kuonekana? Unaweza nipa insights zaidi?
Gari sikushauri tena hiyo ya mizigo? Utafilisika fastaa yalishanikuta
 
Yeah, lodge mbili inaweza kuwa exagregation kidogo. Ila nimepata point yake, wacha nifanye utafiti
Kwa kuanzia lodge ya room 5 hadi 7, room ziwe safiiiiiiiii

Kwa Dodoma bei ya 35 hadi 40k per night maana yake hukosi kukunja 150 hadi 200 on average kwa siku

Inalipa
 
Kwa kuanzia lodge ya room 5 hadi 7, room ziwe safiiiiiiiii

Kwa Dodoma bei ya 35 hadi 40k per night maana yake hukosi kukunja 150 hadi 200 on average kwa siku

Inalipa
Aisee mbona kama unataka kumwingiza mwenzio chaka, Mil 32 ujenge lodge ya room 5-7 room ya kulipa 35k-40k unaijenga total 32Mil? Is it possible mkuu hebu kuwa realistic!!!
 
Aisee mbona kama unataka kumwingiza mwenzio chaka, Mil 32 ujenge lodge ya room 5-7 room ya kulipa 35k-40k unaijenga total 32Mil? Is it possible mkuu hebu kuwa realistic!!!
Kakwambia ana 32? Mbona mawazo yenu yanakuwa fixated kwenye hela aliyotaja...he is not dying or stop working today, hiyo hela aliyosema inatosha kuanzishia ujenzi, maisha yanaendelea hajafa
 
Unaweza pia kufikiria Pharmacy
 
Bro mimi nimejenga nyumba za kupangisha kwa sasa nina wapangaji 12 natamani nitume excel sheet humu uone sema ntakuwa nimewakosea heshima wapangaji wangu kuwaanika ila nimegundua nguvu nilizotumia kujenga hizi nyumba ningejenga Lodge hata mbili haki ya nani ningeishi kibosi kabisa.

Kwa sababu mtu anaeishi kwenye nyumba ya kupanga kwa 150,000 kwa mwezi ujue anaishi kwa 3,000 kwa siku tofauti na lodge. ANYWAY hela zote zinaenda kwenye Ada za watoto nimepata eneo zuri la lodge nafanya masahihisho nitarudi kutoa report humu ikiisha
 
Kakwambia ana 32? Mbona mawazo yenu yanakuwa fixated kwenye hela aliyotaja...he is not dying or stop working today, hiyo hela aliyosema inatosha kuanzishia ujenzi, maisha yanaendelea hajafa
Kwa hiyo akianzisha ujenzi hiyo 64 ikaisha bila jengo kukamilika na kutumika, hilo jengo linakuwa asset?

Mweleze mleta maada; ana maanisha kuwa anataka biashata ambayo atawekeza 64Mil na itaanza kuleta returns baada ya kuiwekeza...sio tena aweke 64mil halafu aaNe tena kutafuta 40Mil kukamilisha mradi ili ndo uanE kutela returns!!!
 
Lodge uipatie location around stand au bar kubwa kubwa hiziii...!!
 
Case closed

Alishasema wazo la lodge amelielewa na analifanyia kazi, kwani akitafuta mil.40 kuongezea kwenye mil.64 aliyo nayo tatizo nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…