Nina shilingi milioni 64, niwekeze kwenye biashara gani kati ya hizi?

Case closed

Alishasema wazo la lodge amelielewa na analifanyia kazi, kwani akitafuta mil.40 kuongezea kwenye mil.64 aliyo nayo tatizo nini?
Haya umeshinda boss wangu,
Mwisho wa siku yy ndo mwamuzi.
 
Tafuta shamba ulime kilimo cha kisasa ukiwa na pesa kilimo kinalipa sana cha kulima utajua baada ya kuchanganua demand na supply ya soko usiambiwe tu lima tikiti bila kujua uhitaji wake wakati na baadae wakati unavuna utakuaje sokoni..
 
KAlibu kwenye bidhara yetu ya kuleta viazi ulaya mwanza kutoka kenya njombe na bukoba bila kusaau manyara mtaji ni milion 15 tu
 
Nijidanganya tena kaulize bei ya mchele halafu kafanya comparison na wakat wamavuno utapata kitu Mkuu
Usihangaike nao
Yaan ww mtu ukimwambia kitu chenye ukwel halafu anabisha ww achana nae sis tunaoijua hyo biashara tumeelewa kabla hujamalza kuongea
 
Hizi huwa hazilipi labda kama ni kuhifadhi pesa zake tu, fikiria nyumba ya m60 utapangisha kiasi gani? Labda laki2, kwa mwaka 2.4m, unahitaji miaka zaidi ya 25 kurudisha pesa.

Watu wamekariri kupangisha ila ukweli hazilipi.
Inategemeana na eneo. Wale wa zee wa obey na masaki nawaona wanavyokula hela. Mfano mume wa marehemu maunda zorro. Jamaa anakula dola tu
 
Weka air bnb kidogo inarudisha pesa
 
Njoo korogwe tanga, wekeza kwenye mashamba ya mkonge...... Utanishukuru baadae
 
WaTanzania walio wengi ni wapumbavu sana, sasa mpaka unapata hizo hela hukuwa na malengo, mpaka uje kuuliza humu

Au umeokota hizo pesa......

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
WaTanzania walio wengi ni wapumbavu sana, sasa mpaka unapata hizo hela hukuwa na malengo, mpaka uje kuuliza humu

Au umeokota hizo pesa......

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
Akili yako ikoje mkuu? Unatukana bila kusoma huyo jamaa amepataje hiyo pesa. Mbona kaeleza toka mwanzo sababu ya kuipata hiyo pesa na kwanini anaomba ushauri wa kuifanyia biashara ili izunguke.

Ungekuwa makini ungesoma toka mwanzo wala hukuwa na sababu ya kumtukana.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Kwamba unataka kusemaje sasa? Nimecomment kitu ambacho nimesoma sijakurupuka

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…