nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Fungua min supermarket ule bila stress.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya umeshinda boss wangu,Case closed
Alishasema wazo la lodge amelielewa na analifanyia kazi, kwani akitafuta mil.40 kuongezea kwenye mil.64 aliyo nayo tatizo nini?
Streas atazipata tu , kutana na tra kwenye makadirio ya kodi , ! Jasho litakutokaFungua min supermarket ule bila stress.
Hakuna biashara utawakwepa hao.Streas atazipata tu , kutana na tra kwenye makadirio ya kodi , ! Jasho litakutoka
Kilimo hakuna TRA wala leseni Mkuu, ba faida unapata au kufunga kazi ndani ya miezi 4 hadi 6Hakuna biashara utawakwepa hao.
Usihangaike naoNijidanganya tena kaulize bei ya mchele halafu kafanya comparison na wakat wamavuno utapata kitu Mkuu
Inategemeana na eneo. Wale wa zee wa obey na masaki nawaona wanavyokula hela. Mfano mume wa marehemu maunda zorro. Jamaa anakula dola tuHizi huwa hazilipi labda kama ni kuhifadhi pesa zake tu, fikiria nyumba ya m60 utapangisha kiasi gani? Labda laki2, kwa mwaka 2.4m, unahitaji miaka zaidi ya 25 kurudisha pesa.
Watu wamekariri kupangisha ila ukweli hazilipi.
Weka air bnb kidogo inarudisha pesaBro mimi nimejenga nyumba za kupangisha kwa sasa nina wapangaji 12 natamani nitume excel sheet humu uone sema ntakuwa nimewakosea heshima wapangaji wangu kuwaanika ila nimegundua nguvu nilizotumia kujenga hizi nyumba ningejenga Lodge hata mbili haki ya nani ningeishi kibosi kabisa.
Kwa sababu mtu anaeishi kwenye nyumba ya kupanga kwa 150,000 kwa mwezi ujue anaishi kwa 3,000 kwa siku tofauti na lodge. ANYWAY hela zote zinaenda kwenye Ada za watoto nimepata eneo zuri la lodge nafanya masahihisho nitarudi kutoa report humu ikiisha
Ndo nini hiyo nduguWeka air bnb kidogo inarudisha pesa
+cryptoTrade Forex!
WaTanzania walio wengi ni wapumbavu sana, sasa mpaka unapata hizo hela hukuwa na malengo, mpaka uje kuuliza humuHabarini wakuu.
Natumaini mnaendelea vizuri na maandalizi ya sikukuu.
Bila kuwachosha sana, nimeweza ku save jumla ya shilingi milioni 64 hadi sasa, kiasi hiki nimeweza kukisave kuanzia mwezi April mwaka huu kutoka kwenye mshahara wangu. Nipo mkoa wa Dodoma.
So far, nimefikiria kuwekeza katika mojawapo ya mambo yafuatayo:
1. Ninunue eneo la shamba kubwa maeneo ya Dodoma nje ya mji au Dodoma vijijini kisha nianzishe kama ranchi hivi ya ufugaji wa mbuzi.
Nimefikiria mbuzi kwa sababu kwa utafiti wangu wa muda mfupi nimeona kuwa mbuzi hawana complications nyingi kulinganisha na wanyama wengine wa kufuga, na pia kuna fursa zaidi kwa mbuzi nchini, na demand ambayo haijawa satsified.
Lengo la hii ni baadae niweze kuwa na kiwanda kabisa cha kuchinja na kuprocess nyama ya mbuzi, na kuweza hata kuuza ndani na nje ya nchi products za nyama ya mbuzi.
2. Nifungue park kwa ajili ya michezo ya watoto kwa Dodoma. Moja ya gaps ambazo nimeziona Dodoma ni kukosekana kwa eneo zuri la maana kwa ajili ya michezo ya watoto na watu kupumzika pia.
Hapa nafikiria ninunue eneo Dodoma then nilitengeneze vizuri na kuweka michezo ya watoto (indoor na outdoor) ya kutosha, pamoja na kutengeneza garden nzuri ya kuvutia kwa ajili ya watu na familia zao kupumzika na kupigia picha.
Kwa nje kwenye ukuta nawaza pia kuwe na frame kadhaa ambazo nitakodisha kwa watu waweke maduka ya vyakula, vinywaji, na vitu vya watoto.
3. Nifungue kiwanda cha maji ya kunywa yale ya kwenye dispenser kwa ajili ya matumizi ya majumbani na maofisini. Nimeona gap pia hapa kwa sababu makampuni yaliyopo hapa Dodoma kwa hii huduma hayatoshelezi mahitaji kwa kiasi kikubwa, mara nyingi sana unakuta yanapotea sokoni kwa muda fulani (no consistency of supply).
4. Ninunue kiwanja saizi ya kati maeneo ambayo sasa hivi ndo yanajengeka (eg Ilazo, NALA) halafu nipige vyumba vya low-cost (behewa style), niweke hapo vyumba kadhaa, then nipangishe nile kodi kila mwezi hata 50K kwa kila room. Baadae kadri ninavyopata mpunga zaidi, niongeze idadi ya vyumba zaidi na zaidi.
Wenye uzoefu wa biashara na ideas na mnaoifahamu Dodoma, niambieni hapo nianze na ipi kati ya hizo kwa mtaji huu nilionao (milioni 64), au hata idea nyingine ambayo sijaitaja hapo juu.
Mimi maisha yangu yote nimeajiriwa tu hadi sasa (nina umri wa miaka 35). Sijawahi kufanya buashara hata ya kuingiza shs 500. Nimeona ni bora pia niangalie upande huu wa business pia maana siwezi ajiriwa milele, na pia kama mjuavyo hizi ajira zetu, leo ipo kesho haipo hasa huku private sector.
Natanguliza shukrani.
Akili yako ikoje mkuu? Unatukana bila kusoma huyo jamaa amepataje hiyo pesa. Mbona kaeleza toka mwanzo sababu ya kuipata hiyo pesa na kwanini anaomba ushauri wa kuifanyia biashara ili izunguke.WaTanzania walio wengi ni wapumbavu sana, sasa mpaka unapata hizo hela hukuwa na malengo, mpaka uje kuuliza humu
Au umeokota hizo pesa......
Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
Kwamba unataka kusemaje sasa? Nimecomment kitu ambacho nimesoma sijakurupukaAkili yako ikoje mkuu? Unatukana bila kusoma huyo jamaa amepataje hiyo pesa. Mbona kaeleza toka mwanzo sababu ya kuipata hiyo pesa na kwanini anaomba ushauri wa kuifanyia biashara ili izunguke.
Ungekuwa makini ungesoma toka mwanzo wala hukuwa na sababu ya kumtukana.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Basi unaweza kusoma na usielewe. Kuna kusoma ili ujibu na kuna kusoma ili uelewe.Kwamba unataka kusemaje sasa? Nimecomment kitu ambacho nimesoma sijakurupuka
Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app