Nina shilingi milioni 64, niwekeze kwenye biashara gani kati ya hizi?

Vipi ushawekeza Dodoma tayari?Na mitaa ipi mkuu!
 
Wazo la mwisho ndilo lenye tija hayo mengine utateseka bure
 
Jenga ukumbi wa kisasa utakuwa unakodisha mikutano na harusi, weka na vitu vya kukodisha vihusianavyo na mambo ya sherehe.
Pia wazo la mbuzi ni zuri soko lipo Comoro utakimbia pesa na uarabuni pia.
 
Nunua vitu vya kukodisha kwenye mashughuli tents,viti,meza, utahitajika kuwa na gari kirikuu kwaajili ya kubeba toka store kwako hadi eneo la tukio.Utakuwa na vijana watakaohusika na kufunga izo hema....kila kitu kinakodishwa kuanzia 300-500 kwa hivi vya plastiki,hema hukodishwa 50000-200000 kulingana na ukubwa,meza 500-1000 kulianga na aina ya meza.Chonga dili na wadau wa izo kazi mf mc,wapishi,wenye kumbi (au sababu mpunga mrefu ukumbi waweza jenga tu nao ukaukodisha pia.

Wateja wako ni
Misiba
Harusi
Mikutano
Ubarikio
nashughuli zingine
Mali uliyokodisha sharti irudi kama ilivyokabidhiwa kwa idadi na ubora.Kupotea au kuharibika atawajibika mkodishaji.
Kwa bajeti yako utakuwa mkodishaji wa uhakika ivyo waweza jitangaza hata kwa local redio mwezi mmoja tu kila shughuli watakutafuta sababu bei yako itakuwa nzuri na uhakika wa upatikanaji wa vifaa.
Nyongeza,kama utajisajili kama kampuni basi omba tenda za serikali ukila nao hao basi kila shughuli yao utakuwepo mkono wako.
 

Attachments

  • thumb_312_800x420_0_0_auto.jpg
    47.5 KB · Views: 40
  • 5x12-pvc-b.jpg
    56.5 KB · Views: 41
  • images (13).jpg
    11.8 KB · Views: 40

[emoji92][emoji92][emoji92]
 
Wazo zuli la bishara linategemea na characters za mtu husika especially kwenye kutake risk na amount ya reward anataka, lakini pia kuna watu wanauwezo wakivumilia biashara za stress na wengine hawawezi kuvumia mazingira kama hayo, wengine wanapenda pesa kiasi cha kwamba biahara yenye low return inawadiscourage, wengine wako morea active kwio wakifanya bishara ambazo hazina movement hawaenjoy na mengine mengi. Kwa nilivyo mimi ningefanya mambo mawili apo. Moja ningejenga low income rent houses. Mi ni risk taker ila napenda assurance ningeingia kwenye biahara ya mbuzi, kwa kununua shamba kubwa nje ya mji kwa mkopo wa banki na kuweka nyumba dhamana. Na kuna siri ya jinsi ya kuchukua mkopo, mkopo unachukua wakati nyumba imejaa wapangaji ili iwe na value kubwa Am sure kama umefanya utafiti wa kutosha bishara mbili zinaweza wa kulipa ilo deni kwa wakati. No risk no reward.
 
Wazo namba 4 nakuunga mkono
 
Dodoma ukiweka fantasy city Tena pale mjini aisee utaua utaua mno

Utapata hela nyingi mno

Utakuja kunishukuru kwa hili
 
Tafuta Eneo liko busy fanya Uwakala wa mabank, na mobile money au fungua Microfinance uanze kukopesha watu.
 
Kafungue biashara ya accesories kariakoo... uuze vifaa vya kielektroniki kijana, hasa simu na kompyuta. Tumia mtaji wa 10m-15m, lipa na kodi ya mwaka... wekeza nguvu na mawazo kwenye biashara. Utaona jinsi watoto wa mjini wanatoboaga wanaitwa wanga, mashoga na wauza unga.

Ila uweke na kabajeti ka uganga kidogo.
 
Uko kwenye eneo ambalo zao la alizeti linapatikana kwa wingi Nunua oil expeller na uwe mzalishaji wa mafuta ya kupikia yanayotokana na mbegu ya alizeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…