Nina shilingi milioni 64, niwekeze kwenye biashara gani kati ya hizi?

Ni wewe tu..... Wewe ndio ingredient ya maana nenda kule ambako roho inapenda hata mambo yakienda pear shaped itakuwa vigumu kukata tamaa (sababu kwenye vyote kuna ups and downs) ukipenda unachofanya uta-take the rough with the smooth
 
Mkuu endelea kusave ifike 150m utengeneze Petro station..kwanza kwasasa tafuta eneo potential Kisha lifanyie urasimishaji andaa 10m kwa ajili ya consultant expert Hadi upate hati akushugulikie hatu zote

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Usije ukalogwa. We unaona biashara ya sheli rahis? Kila lori moja la la liter 30k unajua faida yake kias gan? Na yanaisha kwa muda gani? Hapo hio hela 150m hujapata vibali Eia bei gan utalipa kuseti.? Hio baishara unampoteza
Bongo nafikri sana kisicho na mawazo real estate tu
 
Habarini wakuu.

Natumaini mnaendelea vizuri na maandalizi ya sikukuu.

Bila kuwachosha sana, nimeweza ku save jumla ya shilingi milioni 64 hadi sasa, kiasi hiki nimeweza kukisave kuanzia mwezi April mwaka huu kutoka kwenye mshahara wangu. Nipo mkoa wa Dodoma.

So far, nimefikiria kuwekeza katika mojawapo ya mambo yafuatayo:

1. Ninunue eneo la shamba kubwa maeneo ya Dodoma nje ya mji au Dodoma vijijini kisha nianzishe kama ranchi hivi ya ufugaji wa mbuzi.

Nimefikiria mbuzi kwa sababu kwa utafiti wangu wa muda mfupi nimeona kuwa mbuzi hawana complications nyingi kulinganisha na wanyama wengine wa kufuga, na pia kuna fursa zaidi kwa mbuzi nchini, na demand ambayo haijawa satsified.

Lengo la hii ni baadae niweze kuwa na kiwanda kabisa cha kuchinja na kuprocess nyama ya mbuzi, na kuweza hata kuuza ndani na nje ya nchi products za nyama ya mbuzi.

2. Nifungue park kwa ajili ya michezo ya watoto kwa Dodoma. Moja ya gaps ambazo nimeziona Dodoma ni kukosekana kwa eneo zuri la maana kwa ajili ya michezo ya watoto na watu kupumzika pia.

Hapa nafikiria ninunue eneo Dodoma then nilitengeneze vizuri na kuweka michezo ya watoto (indoor na outdoor) ya kutosha, pamoja na kutengeneza garden nzuri ya kuvutia kwa ajili ya watu na familia zao kupumzika na kupigia picha.

Kwa nje kwenye ukuta nawaza pia kuwe na frame kadhaa ambazo nitakodisha kwa watu waweke maduka ya vyakula, vinywaji, na vitu vya watoto.

3. Nifungue kiwanda cha maji ya kunywa yale ya kwenye dispenser kwa ajili ya matumizi ya majumbani na maofisini. Nimeona gap pia hapa kwa sababu makampuni yaliyopo hapa Dodoma kwa hii huduma hayatoshelezi mahitaji kwa kiasi kikubwa, mara nyingi sana unakuta yanapotea sokoni kwa muda fulani (no consistency of supply).

4. Ninunue kiwanja saizi ya kati maeneo ambayo sasa hivi ndo yanajengeka (eg Ilazo, NALA) halafu nipige vyumba vya low-cost (behewa style), niweke hapo vyumba kadhaa, then nipangishe nile kodi kila mwezi hata 50K kwa kila room. Baadae kadri ninavyopata mpunga zaidi, niongeze idadi ya vyumba zaidi na zaidi.

Wenye uzoefu wa biashara na ideas na mnaoifahamu Dodoma, niambieni hapo nianze na ipi kati ya hizo kwa mtaji huu nilionao (milioni 64), au hata idea nyingine ambayo sijaitaja hapo juu.

Mimi maisha yangu yote nimeajiriwa tu hadi sasa (nina umri wa miaka 35). Sijawahi kufanya buashara hata ya kuingiza shs 500. Nimeona ni bora pia niangalie upande huu wa business pia maana siwezi ajiriwa milele, na pia kama mjuavyo hizi ajira zetu, leo ipo kesho haipo hasa huku private sector.

Natanguliza shukrani.
Ushauri wangu

Kwa vile una mshahara mzuri fanya hivi tafuta mtu mlipe kidogo akushauri maswala ya uwekezaji.

Au hudhuria "lets talk finance" hua wanaelimisha kuhusu sehem salama za kuwekeza pesa au angalia youtube jinsi ya kuwekeza ktk government bond,UTT -AMIS,kuwekeza ktk hisa mbalimbali, au real estate.

unapowekeza ktk government bond au hisa unajiwekea hali ya pesa yako kukufanyia kazi hata kama umelala.kama ningekua wewe nina uwezo wa kukusanya hizo pesa ningeanza na government bond roud ya kwanza ningeweka mil 100 kwa round 3.hadi kufikia mil 300.hii wanatoa 15% hapo ningekua napokea 45mil kwa mwaka.hii 45 ningeitupia utt amis mfuko wa ukwasi ambao ungekua unanipa 12% kwa mwaka hapa ungeweka hata mil 300 pia usisahau kununua viwanja maeneo mbalimbali kama utaendelea na kazi nunua hisa ukienda DSE watakupa elimu n nyingine tupia fixed Acc.

kumbuka kwenye hizo bond na hisa unaweza kupata mikopo bank hadi 80% ukaacha walipane wao hadi den likiisha ndo unaendelea kupokea hiyo mikopo kajenge ktk viwanja vyako wee ndani ya miaka 15 ijayo wewe sio maskin tena.tujifunze kuwekeza pesa ktk vitu ambayo hata ukiwa kitandan pesa inaingia tu.
 
Ushauri wangu

Kwa vile una mshahara mzuri fanya hivi tafuta mtu mlipe kidogo akushauri maswala ya uwekezaji.
Au hudhuria "lets talk finance" hua wanaelimisha kuhusu sehem salama za kuwekeza pesa au angalia youtube jinsi ya kuwekeza ktk government bond,UTT -AMIS,kuwekeza ktk hisa mbalimbali,au real estate.unapowekeza ktk government bond au hisa unajiwekea hali ya pesa yako kukufanyia kazi hata kama umelala.kama ningekua wewe nina uwezo wa kukusanya hizo pesa ningeanza na government bond roud ya kwanza ningeweka mil 100 kwa round 3.hadi kufikia mil 300.hii wanatoa 15% hapo ningekua napokea 45mil kwa mwaka.hii 45 ningeitupia utt amis mfuko wa ukwasi ambao ungekua unanipa 12% kwa mwaka hapa ungeweka hata mil 300 pia usisahau kununua viwanja maeneo mbalimbali kama utaendelea na kazi nunua hisa ukienda DSE watakupa elimu n nyingine tupia fixed Acc.kumbuka kwenye hizo bond na hisa unaweza kupata mikopo bank hadi 80% ukaacha walipane wao hadi den likiisha ndo unaendelea kupokea hiyo mikopo kajenge ktk viwanja vyako wee ndani ya miaka 15 ijayo wewe sio maskin tena.tujifunze kuwekeza pesa ktk vitu ambayo hata ukiwa kitandan pesa inaingia tu.
Wazo zuri...
 
Tafuta eneo hata 20*20 kama kule Chang'ombe weka garage ya pikipiki na Bajaj. Weka na duka la vipuri vya vifaa hivyo. Tafuta mafundi wasimamie vizuri.
 
Walioshirikisha wake zao kwenye biashara wengi wameangukia pua, Matajiri wengi ni bandidu anaamka asubuhi ameanzisha mradi,familia inapewa taarifa tu. Ukianza mambo ya ku romanticize na mke hutoboi hata kidogo. Wakina mama tunawapenda lakini wameumbwa kupewa taarifa ya maamuzi ili wao waseme Wow wow you have made it my.....

Ukweli mchungu huu.
Nimewahi kufanya kazi kwa Watanzania mabilionea wenye makampuni yao makubwa.

Lifestyle yao ni noma yaani ni zaidi ya bandidu na huwa hawamwamini mtu hata awe mama au baba yake mzazi.
Unakuta ana wafanyakazi wake kuanzia mameneja hadi vibarua wamewaajiri na kila siku wanatumiwa report zote kuanzia production hadi sales lakini utawakuta saa kumi na moja alfajiri wameshaamka wako barabarani kwenda kukagua processes za biashara zinavyokwenda,bila kuwa hivi huwezi kuwa tajiri.
 
Habarini wakuu.

Natumaini mnaendelea vizuri na maandalizi ya sikukuu.

Bila kuwachosha sana, nimeweza ku save jumla ya shilingi milioni 64 hadi sasa, kiasi hiki nimeweza kukisave kuanzia mwezi April mwaka huu kutoka kwenye mshahara wangu. Nipo mkoa wa Dodoma.

So far, nimefikiria kuwekeza katika mojawapo ya mambo yafuatayo:

1. Ninunue eneo la shamba kubwa maeneo ya Dodoma nje ya mji au Dodoma vijijini kisha nianzishe kama ranchi hivi ya ufugaji wa mbuzi.

Nimefikiria mbuzi kwa sababu kwa utafiti wangu wa muda mfupi nimeona kuwa mbuzi hawana complications nyingi kulinganisha na wanyama wengine wa kufuga, na pia kuna fursa zaidi kwa mbuzi nchini, na demand ambayo haijawa satsified.

Lengo la hii ni baadae niweze kuwa na kiwanda kabisa cha kuchinja na kuprocess nyama ya mbuzi, na kuweza hata kuuza ndani na nje ya nchi products za nyama ya mbuzi.

2. Nifungue park kwa ajili ya michezo ya watoto kwa Dodoma. Moja ya gaps ambazo nimeziona Dodoma ni kukosekana kwa eneo zuri la maana kwa ajili ya michezo ya watoto na watu kupumzika pia.

Hapa nafikiria ninunue eneo Dodoma then nilitengeneze vizuri na kuweka michezo ya watoto (indoor na outdoor) ya kutosha, pamoja na kutengeneza garden nzuri ya kuvutia kwa ajili ya watu na familia zao kupumzika na kupigia picha.

Kwa nje kwenye ukuta nawaza pia kuwe na frame kadhaa ambazo nitakodisha kwa watu waweke maduka ya vyakula, vinywaji, na vitu vya watoto.

3. Nifungue kiwanda cha maji ya kunywa yale ya kwenye dispenser kwa ajili ya matumizi ya majumbani na maofisini. Nimeona gap pia hapa kwa sababu makampuni yaliyopo hapa Dodoma kwa hii huduma hayatoshelezi mahitaji kwa kiasi kikubwa, mara nyingi sana unakuta yanapotea sokoni kwa muda fulani (no consistency of supply).

4. Ninunue kiwanja saizi ya kati maeneo ambayo sasa hivi ndo yanajengeka (eg Ilazo, NALA) halafu nipige vyumba vya low-cost (behewa style), niweke hapo vyumba kadhaa, then nipangishe nile kodi kila mwezi hata 50K kwa kila room. Baadae kadri ninavyopata mpunga zaidi, niongeze idadi ya vyumba zaidi na zaidi.

Wenye uzoefu wa biashara na ideas na mnaoifahamu Dodoma, niambieni hapo nianze na ipi kati ya hizo kwa mtaji huu nilionao (milioni 64), au hata idea nyingine ambayo sijaitaja hapo juu.

Mimi maisha yangu yote nimeajiriwa tu hadi sasa (nina umri wa miaka 35). Sijawahi kufanya buashara hata ya kuingiza shs 500. Nimeona ni bora pia niangalie upande huu wa business pia maana siwezi ajiriwa milele, na pia kama mjuavyo hizi ajira zetu, leo ipo kesho haipo hasa huku private sector.

Natanguliza shukrani.
kama unawwza kusimamia kazi ya ufugaji ni babu kubwa ila uwe na uweo wa kusimamia
ukiweza unaweka na bwawa la ufugaji samaki
hiyo kazi inaipa sana kazi usimamizi ndugu yangu ukiweza ulmetoka mpaka hiyo kazi yako utawacha kwani kipato chake kikubwa
 
Asante kwa wazo.
64m napata Fuso la kuanzia? Na je, Fuso moja inaweza nipa return nzuri ya kuonekana? Unaweza nipa insights zaidi?
hiyo hela kwa fuso aitoshi pia biashara ya magali ni ugonywa wa moyo pia walaji wengi

1 tarafiki
2 serikali
3 dereva
4 tingo
5 fundi
6 gali yenywe
7 wewe unakuwa mtu wa mwisho
 
Habarini wakuu.

Natumaini mnaendelea vizuri na maandalizi ya sikukuu.

Bila kuwachosha sana, nimeweza ku save jumla ya shilingi milioni 64 hadi sasa, kiasi hiki nimeweza kukisave kuanzia mwezi April mwaka huu kutoka kwenye mshahara wangu. Nipo mkoa wa Dodoma.

So far, nimefikiria kuwekeza katika mojawapo ya mambo yafuatayo:

1. Ninunue eneo la shamba kubwa maeneo ya Dodoma nje ya mji au Dodoma vijijini kisha nianzishe kama ranchi hivi ya ufugaji wa mbuzi.

Nimefikiria mbuzi kwa sababu kwa utafiti wangu wa muda mfupi nimeona kuwa mbuzi hawana complications nyingi kulinganisha na wanyama wengine wa kufuga, na pia kuna fursa zaidi kwa mbuzi nchini, na demand ambayo haijawa satsified.

Lengo la hii ni baadae niweze kuwa na kiwanda kabisa cha kuchinja na kuprocess nyama ya mbuzi, na kuweza hata kuuza ndani na nje ya nchi products za nyama ya mbuzi.

2. Nifungue park kwa ajili ya michezo ya watoto kwa Dodoma. Moja ya gaps ambazo nimeziona Dodoma ni kukosekana kwa eneo zuri la maana kwa ajili ya michezo ya watoto na watu kupumzika pia.

Hapa nafikiria ninunue eneo Dodoma then nilitengeneze vizuri na kuweka michezo ya watoto (indoor na outdoor) ya kutosha, pamoja na kutengeneza garden nzuri ya kuvutia kwa ajili ya watu na familia zao kupumzika na kupigia picha.

Kwa nje kwenye ukuta nawaza pia kuwe na frame kadhaa ambazo nitakodisha kwa watu waweke maduka ya vyakula, vinywaji, na vitu vya watoto.

3. Nifungue kiwanda cha maji ya kunywa yale ya kwenye dispenser kwa ajili ya matumizi ya majumbani na maofisini. Nimeona gap pia hapa kwa sababu makampuni yaliyopo hapa Dodoma kwa hii huduma hayatoshelezi mahitaji kwa kiasi kikubwa, mara nyingi sana unakuta yanapotea sokoni kwa muda fulani (no consistency of supply).

4. Ninunue kiwanja saizi ya kati maeneo ambayo sasa hivi ndo yanajengeka (eg Ilazo, NALA) halafu nipige vyumba vya low-cost (behewa style), niweke hapo vyumba kadhaa, then nipangishe nile kodi kila mwezi hata 50K kwa kila room. Baadae kadri ninavyopata mpunga zaidi, niongeze idadi ya vyumba zaidi na zaidi.

Wenye uzoefu wa biashara na ideas na mnaoifahamu Dodoma, niambieni hapo nianze na ipi kati ya hizo kwa mtaji huu nilionao (milioni 64), au hata idea nyingine ambayo sijaitaja hapo juu.

Mimi maisha yangu yote nimeajiriwa tu hadi sasa (nina umri wa miaka 35). Sijawahi kufanya buashara hata ya kuingiza shs 500. Nimeona ni bora pia niangalie upande huu wa business pia maana siwezi ajiriwa milele, na pia kama mjuavyo hizi ajira zetu, leo ipo kesho haipo hasa huku private sector.

Natanguliza shukrani.
Mkuu nakushauri ingia kwenye biashara ya JENGA NA KUUZA

Nunua viwanja bei ndogo. Jenga nyumba kisha uza kwa faida.

mfano: kiwanja cha 5mil, ujenzi 20mil.

uza 30mil top.

Faida 5mil ndani ya mwezi mmoja tu
 
Wazo langu la Pili

Kama hutojali, Nunua ng'ombe mikoani nenda kawauzie wacomoro huko mkuu wangu kuna faida.

Au nunua kauze kenya huko
 
Wazo langu la tatu,
Kusanya mazao kama karanga huku mikoa ya kanda ya kati.. safirisha kwenda Rwanda.

Nunua Mchele ule first grade kutoka Bodi ya mazao Tz, kwa sasa kilo 3,500 safirisha kwenda Kenya, Rwanda n.k na kwenye mahoteli ya kitalii.
 
Wazo langu la 3.

Njoo kwenye Biashara kichaa ya dhahabu😅😅

Jikite kwenye kununua dhahabu kisha nenda kauze kwa bei nzuri kwingine huko
 
Habarini wakuu.

Natumaini mnaendelea vizuri na maandalizi ya sikukuu.

Bila kuwachosha sana, nimeweza ku save jumla ya shilingi milioni 64 hadi sasa, kiasi hiki nimeweza kukisave kuanzia mwezi April mwaka huu kutoka kwenye mshahara wangu. Nipo mkoa wa Dodoma.

So far, nimefikiria kuwekeza katika mojawapo ya mambo yafuatayo:

1. Ninunue eneo la shamba kubwa maeneo ya Dodoma nje ya mji au Dodoma vijijini kisha nianzishe kama ranchi hivi ya ufugaji wa mbuzi.

Nimefikiria mbuzi kwa sababu kwa utafiti wangu wa muda mfupi nimeona kuwa mbuzi hawana complications nyingi kulinganisha na wanyama wengine wa kufuga, na pia kuna fursa zaidi kwa mbuzi nchini, na demand ambayo haijawa satsified.

Lengo la hii ni baadae niweze kuwa na kiwanda kabisa cha kuchinja na kuprocess nyama ya mbuzi, na kuweza hata kuuza ndani na nje ya nchi products za nyama ya mbuzi.

2. Nifungue park kwa ajili ya michezo ya watoto kwa Dodoma. Moja ya gaps ambazo nimeziona Dodoma ni kukosekana kwa eneo zuri la maana kwa ajili ya michezo ya watoto na watu kupumzika pia.

Hapa nafikiria ninunue eneo Dodoma then nilitengeneze vizuri na kuweka michezo ya watoto (indoor na outdoor) ya kutosha, pamoja na kutengeneza garden nzuri ya kuvutia kwa ajili ya watu na familia zao kupumzika na kupigia picha.

Kwa nje kwenye ukuta nawaza pia kuwe na frame kadhaa ambazo nitakodisha kwa watu waweke maduka ya vyakula, vinywaji, na vitu vya watoto.

3. Nifungue kiwanda cha maji ya kunywa yale ya kwenye dispenser kwa ajili ya matumizi ya majumbani na maofisini. Nimeona gap pia hapa kwa sababu makampuni yaliyopo hapa Dodoma kwa hii huduma hayatoshelezi mahitaji kwa kiasi kikubwa, mara nyingi sana unakuta yanapotea sokoni kwa muda fulani (no consistency of supply).

4. Ninunue kiwanja saizi ya kati maeneo ambayo sasa hivi ndo yanajengeka (eg Ilazo, NALA) halafu nipige vyumba vya low-cost (behewa style), niweke hapo vyumba kadhaa, then nipangishe nile kodi kila mwezi hata 50K kwa kila room. Baadae kadri ninavyopata mpunga zaidi, niongeze idadi ya vyumba zaidi na zaidi.

Wenye uzoefu wa biashara na ideas na mnaoifahamu Dodoma, niambieni hapo nianze na ipi kati ya hizo kwa mtaji huu nilionao (milioni 64), au hata idea nyingine ambayo sijaitaja hapo juu.

Mimi maisha yangu yote nimeajiriwa tu hadi sasa (nina umri wa miaka 35). Sijawahi kufanya buashara hata ya kuingiza shs 500. Nimeona ni bora pia niangalie upande huu wa business pia maana siwezi ajiriwa milele, na pia kama mjuavyo hizi ajira zetu, leo ipo kesho haipo hasa huku private sector.

Natanguliza shukrani.
tembea na 1.
 
Wazo la 4

Nisaidie laki 5 tu nina channel yangu ya mikopo.

Riba yangu ni 20% kwa wiki unaweka vitu dhamana tunaandikishana.

kwa wiki napata laki 1 faida
 
Back
Top Bottom