Wanapiga Mara kwa mara wakiuliza mambo yaleyale kila siku huwa nashindwa kuongea na mtu kitu like kile kila sikuWanakukera nini πππ
Sina madeniHali hiyo huwa inakuja pindi ukiwa na madeni mengi usioweza kuyalipa. Wewe una madeni mengi ambayo yamekushinda kulipa
Kweli kabisa hujakosea ππUnaelekea kuwa introvert kama mimi...mie ndo nishakubuhu yani mpaka ndugu wanahisi ninaringa
Thank you mchumbaπ π π polee
Tuko wengi sana hauko peke yako, I hate CallsSijui ni tabia au mazoea tu!? Ila sipendi kuongea na simu. Na hata nikiongea, naenda moja kwa moja kwenye point ili maongezi yasiwe marefu.
Huwa napenda sms zaidi kuliko calls, sometimes unapokea simu na hakuna jambo la msingi la kuongea.Sijui ni tabia au mazoea tu!? Ila sipendi kuongea na simu. Na hata nikiongea, naenda moja kwa moja kwenye point ili maongezi yasiwe marefu.
View attachment 3396582
Ni uzee + marejeshoSijui ni tabia au mazoea tu!? Ila sipendi kuongea na simu. Na hata nikiongea, naenda moja kwa moja kwenye point ili maongezi yasiwe marefu.
View attachment 3396582
Appreciate π₯° π₯°Haya bhn humu wote ma introvert,
Hawapendi kupigiwa simu
Halafu msiposalimiwa, na kuchuniananaa mnaona watu hawafai,
cc Dr am 4 real PhD
Nunua non expiration bundle km simpigaji sanaHata mimi ,kuna muda sipendi kabisa kuongea na simu ...naweza kununua dk 600 nikatuma 15 .dk 585 zika expire
Naunga mkono hojaTuko wengi yafaa tuanzishe chama chetu
Uwe unatulia na kuvuta pumzi before hujaongea inaweza kukusaidiaThank you mchumba
Haha hiviUwe unatulia na kuvuta pumzi before hujaongea inaweza kukusaidia
Ndiyo jaribu uoneHaha hivi
uuhhh uhhh aaa aa saaantee
Ulizaliwa nacho au ulikuwa unaiga kikakupata na weweHaha hivi
uuhhh uhhh aaa aa saaantee
Mkuu mimi huwa napenda nikimpigia mtu asipokee.Sijui ni tabia au mazoea tu!? Ila sipendi kuongea na simu. Na hata nikiongea, naenda moja kwa moja kwenye point ili maongezi yasiwe marefu.
View attachment 3396582
Ni ni me nime iga nash na na nana nashangaa nimeki kiki kiki pataUlizaliwa nacho au ulikuwa unaiga kikakupata na wewe