Nina simu, ila sipendi watu wanipigie tuongee. Hii tabia ninayo pekee yangu tu?

Nina simu, ila sipendi watu wanipigie tuongee. Hii tabia ninayo pekee yangu tu?

Sijui ni tabia au mazoea tu!? Ila sipendi kuongea na simu. Na hata nikiongea, naenda moja kwa moja kwenye point ili maongezi yasiwe marefu.
Tuko wengi sana hauko peke yako, I hate Calls
 
Maisha yanatufanya tuwe na hofu, hiyo ni dalili moja wapo ya presha.
 
Kitu ambacho kinanikera mtu anakupigia hakuna cha maana halafu anataka we ndo u dictate mazungumzo..
 
Back
Top Bottom