Nina soko Uingereza la maharage haya natafuta patner mwenye mtaji

Chimulenge

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
219
Reaction score
150
Miaka mitatu nyuma nimewahi fanya kazi na wazungu fulani toka Uingereza ya kununua karanga, tulipomaliza waliondoka, last week walinichek wanataka haya maharage.

Wao hawataki kuja huku, wanataka tani na tani za haya maharage baada ni biashara endelevu.

Kwa hiyo natafuta mbia mwenye mtaji.
Tafadhari tuwasiliane kwa maelezo zaidi.

0622723082
1623065440150.png

1623065495815.png
 
Kulima hayo maharage sio tatizo kubwa..wasiwasi ni uhakika wa hilo soko.

Kuna wahamasishaji walikuja na ushauri wa ufugaji wa sungura pamoja na ahadi za kuwanunua wote, watu tukajituma na sungura wakafunguka kama kawaida yao.
Mwisho wa siku wanunuzi waliingia mitini.
Ilibidi tujifunze kula sungura.
 
Hongera sana mkuu kwa kuwa wazo la biashara pia kuwa na soko. Uwepo wa wazo na soko ni hatua njema na sahihi katika mafanikio ya biashara yoyote.

Fika benki uza mawazo yako kwao omba mkopo kazi iendelee.

Haya ya kuihitaji mitaji kibongo bongo hakujawahi kuwa na tija. Wako wapi kina Mr. Kuku?
 
Mhhh bank hizi sasa hivi!mayb
 
Kulima hayo maharage sio tatizo kubwa..wasiwasi ni uhakika wa hilo soko.

Kuna wahamasishaji walikuja na ushauri wa ufugaji wa sungura pamoja na ahadi za kuwanunua wote, watu tukajituma na sungura wakafunguka kama kawaida yao.
Mwisho wa siku wanunuzi wakaingia mitini.
Ilibidi tujifunze kula sungura.
Biashara za keyboarders ngumu sana
 
Kulima hayo maharage sio tatizo kubwa..wasiwasi ni uhakika wa hilo soko.

Kuna wahamasishaji walikuja na ushauri wa ufugaji wa sungura pamoja na ahadi za kuwanunua wote, watu tukajituma na sungura wakafunguka kama kawaida yao.
Mwisho wa siku wanunuzi wakaingia mitini.
Ilibidi tujifunze kula sungura.
umesahau wale wa mahindi ya njano
 
Hongera sana mkuu kwa kuwa wazo la biashara pia kuwa na soko. Uwepo wa wazo na soko ni hatua njema na sahihi katika mafanikio ya biashara yoyote.

Fika benki uza mawazo yako kwao omba mkopo kazi iendelee.

Haya ya kuihitaji mitaji kibongo bongo hakujawahi kuwa na tija. Wako wapi kina Mr. Kuku?
Sure hapa Kuna mtu kupigwa ,kwa uzoefu wangu hakuna ushirikiano wa hela kwa wa weusi ama Kama vipi. Waunganishe jamaa na mwenyewe akiuza atakutoa. Afu usikute ni matapeli Mana sie huku tunaamini kuwa hakuna mzungu tapeli.
Afu huyo muingereza atakuwa ni mhindi Ila sio Ile pure race grade one kabisa.
Ile elite society wafanye biashara za akili ndogo hivi. Mana wao wanaowaza how to recolonize Africa na Asia. Kusaini miktaba ambayo Ina manufaa ya miaka 1000 kwao na sio short term gratification.
 
Miaka mitatu nyuma nimewahi fanya kazi na wazungu fulani toka Uingereza ya kununua karanga, tulipomaliza waliondoka, last week walinichek wanataka haya maharage.

Wao hawataki kuja huku, wanataka tani na tani za haya maharage baada ni biashara endelevu.

Kwa hiyo natafuta mbia mwenye mtaji.
Tafadhari tuwasiliane kwa maelezo zaidi.

0622723082

Mkuu,
Umesema kwamba wanataka tani kwa tani ya Maharage lakini ujasema ni ya aina gani?
 
Kuna jamaa alikuwa anakuja kijijini kwetu uku sumbawanga kununua paka.paka wakawa fursa kila akija anakuja na bei ya juu.paka wakaadimika ikabidi vijana waanze kuwatafuta vijiji vya jirani.nako paka wakaisha nakumbuka alipokuja tena alikuja na oda ya paka 10000.kwa ofa ya sh.80000 kila paka mmoja.vijana wakazunguka vijiji karibu 7 paka wanapatikana 2 Mara 3.akatokea Mzee mmoja akasema Kuna bibi mmoja anafuga paka na yupo kwenye pori fulan HV kila paka ni anauza 50000 .watu ni kuvamia pori na kwenda kununua paka.wakarudi na paka kijijini kumsubiria mnunuzi.ni takribani siku ya tatu mnunuzi hajatokea kumbe mnunuzi alikuwa anakuja kununua na kuwatunza kijiji kilichopo kando ya pori...sa HV watu wapo wanazurura na mapaka mtaani paka ni wengi.
 
Back
Top Bottom