Kuna jamaa alikuwa anakuja kijijini kwetu uku sumbawanga kununua paka.paka wakawa fursa kila akija anakuja na bei ya juu.paka wakaadimika ikabidi vijana waanze kuwatafuta vijiji vya jirani.nako paka wakaisha nakumbuka alipokuja tena alikuja na oda ya paka 10000.kwa ofa ya sh.80000 kila paka mmoja.vijana wakazunguka vijiji karibu 7 paka wanapatikana 2 Mara 3.akatokea Mzee mmoja akasema Kuna bibi mmoja anafuga paka na yupo kwenye pori fulan HV kila paka ni anauza 50000 .watu ni kuvamia pori na kwenda kununua paka.wakarudi na paka kijijini kumsubiria mnunuzi.ni takribani siku ya tatu mnunuzi hajatokea kumbe mnunuzi alikuwa anakuja kununua na kuwatunza kijiji kilichopo kando ya pori...sa HV watu wapo wanazurura na mapaka mtaani paka ni wengi.