Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kama ulishafanya nao business wakutumie hela ya kufungasha mzigo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemaliza....! Leo nimeongea na mshikaji.yuko Germany amenichana balaa....nimeangukia no 2 ujue....1. Woga.
2. Kutotafuta taarifa.
3. Contentment (Kuridhika)
4. Urasimu wa mamlaka zetu.
Weka hata picha tuyaone tujue yapoje na yanapatikanaje biashara ifanyikeMimi kuna jamaa yangu anaishi Johernesburg anahitaji maharage meupe, Kama kuna mtu humu anajua wapi tunaweza kuyapata kwa wingi anijulishe.
Mimi natafuta sana taarifa.Umemaliza....! Leo nimeongea na mshikaji.yuko Germany amenichana balaa....nimeangukia no 2 ujue....
Umeniudhi wine yote imeisha...waha bwana..! Mie naenda soon.....Mimi natafuta sana taarifa.
Tangu 2019 nina mwaliko kuhamia Norway, nawaza na kuwazua. Nimeshaitwa hadi basi. Woga wa kuanza upya. Nawaza what if nikichemsha narudije Bongo?😂
Fear for unknown. Mbona hili sio tatizo maana kufeli hata bongo waweza feli vilevile, wanasema mwanzo mgumu ni suala la mwezi 1 ugeni mwezi 2 mwenyeji. wewe kama unayo nia kapambaneMimi natafuta sana taarifa.
Tangu 2019 nina mwaliko kuhamia Norway, nawaza na kuwazua. Nimeshaitwa hadi basi. Woga wa kuanza upya. Nawaza what if nikichemsha narudije Bongo?😂
Haya maharage yapo katika maduka mengi ya wahindi pale Uingereza.Mkuu huna sababu ya kuwa na mbia. Pata confirmed order, waambie hao wazungu wako wakuletee Letter of credit (LC) ufanye mambo yako. Wewe unacheza na kufanya mambo na Benki yako tu. Usihangaike na mtu/watu.
FYI Coco beans in UK supermarkets cost £2.25 per kilo.
Rose cocoKuna jina lake nimesahau...naskia yana rojo balaa
Mimi nimeomba jina anakazania niangalie picha!!Mkuu naomba uwaombe SCIENTIFIC NAME ya hili zao
Bila scientific name tutakua tunabuni tu maana unachoona kinafanana na hicho kumbe ni another class kwenye family of these mazao
Please waombe exact scientific name ya hili zao..from there anyone can grow 'em
Nadhan linaitwa jicho la mke mwenzaRose coco
Njoo pmMimi kuna jamaa yangu anaishi Johernesburg anahitaji maharage meupe, Kama kuna mtu humu anajua wapi tunaweza kuyapata kwa wingi anijulishe.
Huyo kwenda nje ni kama mimi kwenda sokoni kununua mchichaFear for unknown. Mbona hili sio tatizo maana kufeli hata bongo waweza feli vilevile, wanasema mwanzo mgumu ni suala la mwezi 1 ugeni mwezi 2 mwenyeji. wewe kama unayo nia kapambane
Huyo unayesema anasafiri sana hajui hayo maharage kwenye picha hayaliwi na wazungu wa Uingereza!!Huyo kwenda nje ni kama mimi kwenda sokoni kununua mchicha
Benki zetu hazikopeshi starters.Mhhh bank hizi sasa hivi!mayb
HaswaBenki zetu hazikopeshi starters.
Nadhani umejimix mkuu... ulichoandika na yy mbona havina mfananoHuyo unayesema anasafiri sana hajui hayo maharage kwenye picha hayaliwi na wazungu wa Uingereza!!
Hajui Ulaya kuna zaidi ya aina 400 za beans.Na ukisema beans peke yake haueleweki!!