Nina soko Uingereza la maharage haya natafuta patner mwenye mtaji

Sio kwa kuuita kila mtu Tapeli kwa kila kitu
Mfahamisheni haya maharage yanaitwa hivi... na kuna jamii nyingi za haya maharage zinafana sio kukimbiliaa ooohhh hujui jina lake basi wewe ni tapeli.........
Wewe utafute bidhaa fulani. Halafu mimi supplier ndio nikuelimishe zinaitwaje…Are you really this daft?!!!!
 
Miaka mitatu nyuma nimewahi fanya kazi na wazungu fulani toka Uingereza ya kununua karanga, tulipomaliza waliondoka, last week walinichek wanataka haya maharage.

Wao hawataki kuja huku, wanataka tani na tani za haya maharage baada ni biashara endelevu.

Kwa hiyo natafuta mbia mwenye mtaji.
Tafadhari tuwasiliane kwa maelezo zaidi.

0622723082

kuna watu kama nane wamenifata whatsapp na mesage kama hyo ya kwako,nikawa naishia kucheka tu hasa baada ya kuwaambia kuwa yapo uhakika wanaingia mitini.
 
Wewe utafute bidhaa fulani. Halafu mimi supplier ndio nikuelimishe zinaitwaje…Are you really this daft?!!!!
Kabisa unielimishe...
sio kila mtu anajua kila kitu.......
 
Kuna jamaa alikuwa anakuja kijijini kwetu uku sumbawanga kununua paka.paka wakawa fursa kila akija anakuja na bei ya juu.paka wakaadimika ikabidi vijana waanze kuwatafuta vijiji vya jirani.nako paka wakaisha nakumbuka alipokuja tena alikuja na oda ya paka 10000.kwa ofa ya sh.80000 kila paka mmoja.vijana wakazunguka vijiji karibu 7 paka wanapatikana 2 Mara 3.akatokea Mzee mmoja akasema Kuna bibi mmoja anafuga paka na yupo kwenye pori fulan HV kila paka ni anauza 50000 .watu ni kuvamia pori na kwenda kununua paka.wakarudi na paka kijijini kumsubiria mnunuzi.ni takribani siku ya tatu mnunuzi hajatokea kumbe mnunuzi alikuwa anakuja kununua na kuwatunza kijiji kilichopo kando ya pori...sa HV watu wapo wanazurura na mapaka mtaani paka ni wengi.
Dah🤣🤣🤣🤣
Kwamba hapo kijijini kwasasa ni kama vile eneo la kufugia paka kwa jinsi walivyo wengi??
 
Wewe utafute bidhaa fulani. Halafu mimi supplier ndio nikuelimishe zinaitwaje…Are you really this daft?!!!!

Nchi za Ulaya kwenye hii lockdown ya korona imeongeza sana watumiaji wa kahawa...
Wazungu wengi sasa wanatembea Africa wanatafuta business opportunity zaidi kwenye kahawa na cacao.. wenyewe hawajui sana kahawa nzuri ipi....
Wakija wanatafuta mtu msomi mwaminifu(ninajua watu wanafanya kazi za kutafutia wazungu kahawa bongo)....
kwa hiyo hata huyo mzungu anapokuja sio mtaalamu hivyo..........
 
Kulima hayo maharage sio tatizo kubwa..wasiwasi ni uhakika wa hilo soko.

Kuna wahamasishaji walikuja na ushauri wa ufugaji wa sungura pamoja na ahadi za kuwanunua wote, watu tukajituma na sungura wakafunguka kama kawaida yao.
Mwisho wa siku wanunuzi waliingia mitini.
Ilibidi tujifunze kula sungura.
Kuna jina lake nimesahau...naskia yana rojo balaa
Kama sijakosea ni Rosecoco yanatumika sana kwenye kambi za wakimbizi
 
Kuna jamaa alikuwa anakuja kijijini kwetu uku sumbawanga kununua paka.paka wakawa fursa kila akija anakuja na bei ya juu.paka wakaadimika ikabidi vijana waanze kuwatafuta vijiji vya jirani.nako paka wakaisha nakumbuka alipokuja tena alikuja na oda ya paka 10000.kwa ofa ya sh.80000 kila paka mmoja.vijana wakazunguka vijiji karibu 7 paka wanapatikana 2 Mara 3.akatokea Mzee mmoja akasema Kuna bibi mmoja anafuga paka na yupo kwenye pori fulan HV kila paka ni anauza 50000 .watu ni kuvamia pori na kwenda kununua paka.wakarudi na paka kijijini kumsubiria mnunuzi.ni takribani siku ya tatu mnunuzi hajatokea kumbe mnunuzi alikuwa anakuja kununua na kuwatunza kijiji kilichopo kando ya pori...sa HV watu wapo wanazurura na mapaka mtaani paka ni wengi.
Aisee nimecheka sana
 
Nchi za Ulaya kwenye hii lockdown ya korona imeongeza sana watumiaji wa kahawa...
Wazungu wengi sasa wanatembea Africa wanatafuta business opportunity zaidi kwenye kahawa na cacao.. wenyewe hawajui sana kahawa nzuri ipi....
Wakija wanatafuta mtu msomi mwaminifu(ninajua watu wanafanya kazi za kutafutia wazungu kahawa bongo)....
kwa hiyo hata huyo mzungu anapokuja sio mtaalamu hivyo..........
Wazungu ni watumiaji sana wa coffee miaka mingi toka kipindi cha ukoloni. Leo unataka kuniambia nchi kama Italy hawajui kahawa nzuri ni ipi na wamekuja Africa kuuliza…really!!
Ulaya kuna variety za coffee nyingine hata africa atujawai kuzisikia. Mfano “Kopi Luwak”!!
 
Maisha yanaeenda kasi sana..
Na ujue siongelei makampuni makubwa
Naongelea individual watu sasa wana muamko sana wa kufanya biashara zao wenyewe ulaya
sababu ya teknologia ya mawasiliano "Teknohama", sasa kuna platform nyingi za kuweza kuuza bidhaa zako mwenyewe bila ya kushindana na makampuni makubwa....
Nadhani umenielewa......
 
...
Ilibidi tujifunze kula sungura.
... ha ha ha! Na zile sura zao na kucha miguuni kuwala yataka moyo! In short kwa "tabia za sungura" ambazo tumejifunza tangu utotoni inakupa picha ya "ubinadamu" zaidi!
 
Miaka mitatu nyuma nimewahi fanya kazi na wazungu fulani toka Uingereza ya kununua karanga, tulipomaliza waliondoka, last week walinichek wanataka haya maharage.

Wao hawataki kuja huku, wanataka tani na tani za haya maharage baada ni biashara endelevu.

Kwa hiyo natafuta mbia mwenye mtaji.
Tafadhari tuwasiliane kwa maelezo zaidi.

0622723082

Wewe unachangia kiasi gani kwenye hii partnership?
 
Mazuri sana. Yamejaa India na yanapendwa. Kule kg1 ni zaidi ya Tsh 7k.

Sijui ni nani atakuja kutufungulia masoko wabongo ili tuzalishe kwa wingi tuuze nje. Huwezi amini Afrika Mshariki yote na Asia hakuna mchele unaonukia kama wa Tz.
Uliwahi niambia hii ishu aise ya mchele...hakuna wakutufungulia njia ni sisi wenyewe
 
Miaka mitatu nyuma nimewahi fanya kazi na wazungu fulani toka Uingereza ya kununua karanga, tulipomaliza waliondoka, last week walinichek wanataka haya maharage.

Wao hawataki kuja huku, wanataka tani na tani za haya maharage baada ni biashara endelevu.

Kwa hiyo natafuta mbia mwenye mtaji.
Tafadhari tuwasiliane kwa maelezo zaidi.

0622723082

Mkuu huna sababu ya kuwa na mbia. Pata confirmed order, waambie hao wazungu wako wakuletee Letter of credit (LC) ufanye mambo yako. Wewe unacheza na kufanya mambo na Benki yako tu. Usihangaike na mtu/watu.

FYI Coco beans in UK supermarkets cost £2.25 per kilo.
 
Mimi kuna jamaa yangu anaishi Johernesburg anahitaji maharage meupe, Kama kuna mtu humu anajua wapi tunaweza kuyapata kwa wingi anijulishe.
 
Back
Top Bottom