Nina soko Uingereza la maharage haya natafuta patner mwenye mtaji

Nina soko Uingereza la maharage haya natafuta patner mwenye mtaji

Mkuu huna sababu ya kuwa na mbia. Pata confirmed order, waambie hao wazungu wako wakuletee Letter of credit (LC) ufanye mambo yako. Wewe unacheza na kufanya mambo na Benki yako tu. Usihangaike na mtu/watu.

FYI Coco beans in UK supermarkets cost £2.25 per kilo.
Mkuu umemaliza kila kitu wahindi wanatumia Letter of Credit sio cash kama sisi huku.
 
Yote hayo tulielezwa mkuu...
Kuna wahindi na wafanyabiashara wengine wa kibongo siku hizi hawahangaiki na cash wanatumia Letter of Credit kwa benki zao kubwa na Wana export na import mizigo mpaka ya billions of money.

Sema sisi waswahili benki zetu haziweka nguvu kuwasapoti wamatumbi kwenye International Trade. Sisi packages zetu ni zile za weka,toa,junior account na promotion za kutumia visa card ushinde kirikuu.
 
Walitifugisha sungura wakidai mkojo wake unalipa mpaka leo hajatokea mnunuzi.
 
Miaka mitatu nyuma nimewahi fanya kazi na wazungu fulani toka Uingereza ya kununua karanga, tulipomaliza waliondoka, last week walinichek wanataka haya maharage.

Wao hawataki kuja huku, wanataka tani na tani za haya maharage baada ni biashara endelevu.

Kwa hiyo natafuta mbia mwenye mtaji.
Tafadhari tuwasiliane kwa maelezo zaidi.

0622723082
View attachment 1811264
Nitakucheki
 
Kuna wahindi na wafanyabiashara wengine wa kibongo siku hizi hawahangaiki na cash wanatumia Letter of Credit kwa benki zao kubwa na Wana export na import mizigo mpaka ya billions of money.

Sema sisi waswahili benki zetu haziweka nguvu kuwasapoti wamatumbi kwenye International Trade. Sisi packages zetu ni zile za weka,toa,junior account na promotion za kutumia visa card ushinde kirikuu.
Kuna ombwe sana aise
 
Haha
Kulima hayo maharage sio tatizo kubwa..wasiwasi ni uhakika wa hilo soko.

Kuna wahamasishaji walikuja na ushauri wa ufugaji wa sungura pamoja na ahadi za kuwanunua wote, watu tukajituma na sungura wakafunguka kama kawaida yao.
Mwisho wa siku wanunuzi waliingia mitini.
Ilibidi tujifunze kula sungura.
pole sana kaka😀😀😂
 
Mwaka 2015 kuna mdada anaishi Uk akatutaftia soko la mchicha...bas kwenye group la watu 200 tukakubaliana kkla mtu alime eka 2...huwez amin zile eka ilionekana ni chache mnooo kusafirisha....so kuexport mzigo nje sio shughyli za kitoto...lazima uwe fresh sana kifedha!
Duh eka 400 na bado zikawa ndogo, si mchezo, sasa sisi wenye vihekari 15-20 wala tusithubutu..

Maana nilitaka nitandaze haragwe la PINTO mwanzo mwisho ni haragwe tu, kama ni hivyo ni aheri niendele kuvuna nazi zangu tu.
 
Vyakula vinatakiwa SA ni vile mambo ya vibali kuchukua Tanzania kwa ajili ya Export vipo ghari hata zile karanga za Malawi zilizokua zinakuja huku sasa hivi wanaenda kuuza wenyewe bondeni hapo Johannesburg yamejaa maduka ya chakula kutoka Malawi,Zambia na Msumbiji mkiweza nendeni huko soko lipo wazi Asali,dagaa,maharage,mchele na parachichi...unaanza kwa kupeleka kidogo unavyopata uzoefu na soko unachukua mzigo wa kutosha ila Asali mpaka upate kibali ukipeleka kienyeji wanakupokonya mzigo...
 
Miaka mitatu nyuma nimewahi fanya kazi na wazungu fulani toka Uingereza ya kununua karanga, tulipomaliza waliondoka, last week walinichek wanataka haya maharage.

Wao hawataki kuja huku, wanataka tani na tani za haya maharage baada ni biashara endelevu.

Kwa hiyo natafuta mbia mwenye mtaji.
Tafadhari tuwasiliane kwa maelezo zaidi.

0622723082
View attachment 1811264
Mkuu upo mkoa gani?
 
Back
Top Bottom