Chimulenge
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 219
- 150
Kuna jina lake nimesahau...naskia yana rojo balaaHaya maharage yanapendwa sana hasa na Wahindi.
Mhhh bank hizi sasa hivi!maybHongera sana mkuu kwa kuwa wazo la biashara pia kuwa na soko. Uwepo wa wazo na soko ni hatua njema na sahihi katika mafanikio ya biashara yoyote.
Fika benki uza mawazo yako kwao omba mkopo kazi iendelee.
Haya ya kuihitaji mitaji kibongo bongo hakujawahi kuwa na tija. Wako wapi kina Mr. Kuku?
Biashara za keyboarders ngumu sanaKulima hayo maharage sio tatizo kubwa..wasiwasi ni uhakika wa hilo soko.
Kuna wahamasishaji walikuja na ushauri wa ufugaji wa sungura pamoja na ahadi za kuwanunua wote, watu tukajituma na sungura wakafunguka kama kawaida yao.
Mwisho wa siku wanunuzi wakaingia mitini.
Ilibidi tujifunze kula sungura.
PintoKuna jina lake nimesahau...naskia yana rojo balaa
😀😀 kuna jina la kibongo bongo yanajina lake nimesahau...ohh kumbe yanaitwa pintoPinto
Ushahuri wangu;Nina shamba ekar nne naomba mbegu yake Kama kilo kumi hivi nilime mwaka tunafanya biashara kwa Huku nilipo sijayaona sokoni
umesahau wale wa mahindi ya njanoKulima hayo maharage sio tatizo kubwa..wasiwasi ni uhakika wa hilo soko.
Kuna wahamasishaji walikuja na ushauri wa ufugaji wa sungura pamoja na ahadi za kuwanunua wote, watu tukajituma na sungura wakafunguka kama kawaida yao.
Mwisho wa siku wanunuzi wakaingia mitini.
Ilibidi tujifunze kula sungura.
Sure hapa Kuna mtu kupigwa ,kwa uzoefu wangu hakuna ushirikiano wa hela kwa wa weusi ama Kama vipi. Waunganishe jamaa na mwenyewe akiuza atakutoa. Afu usikute ni matapeli Mana sie huku tunaamini kuwa hakuna mzungu tapeli.Hongera sana mkuu kwa kuwa wazo la biashara pia kuwa na soko. Uwepo wa wazo na soko ni hatua njema na sahihi katika mafanikio ya biashara yoyote.
Fika benki uza mawazo yako kwao omba mkopo kazi iendelee.
Haya ya kuihitaji mitaji kibongo bongo hakujawahi kuwa na tija. Wako wapi kina Mr. Kuku?
Mkuu,Miaka mitatu nyuma nimewahi fanya kazi na wazungu fulani toka Uingereza ya kununua karanga, tulipomaliza waliondoka, last week walinichek wanataka haya maharage.
Wao hawataki kuja huku, wanataka tani na tani za haya maharage baada ni biashara endelevu.
Kwa hiyo natafuta mbia mwenye mtaji.
Tafadhari tuwasiliane kwa maelezo zaidi.
0622723082
Hujaona picha mzeeMkuu,
Umesema kwamba wanataka tani kwa tani ya Maharage lakini ujasema ni ya aina gani?