Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina Binadamu mtakatifuTena kwa kuongezea ni vyema kujiongeza na maandiko Mungu anaweza kufanya muujiza kwa mtu asiyeamini ili aanze kuamini kwake ila kwa sasa ni tofauti jamani tunapigwa mnoooo kuwa makini na hao manabiii ndugu yangu
Naunga mkono hoja ...nimesoma shuhuda nika baki na maswali mengi ...sina imani sana ila naamini mwenye kustahili sifa na utukufu ni moja tu MUNGU mwwnye enziSijatulia vizuri ila jioni nitakujibu kwa vifungu vya Biblia. Nifahamuvyo, Uponyaji wa kimungu umejengwa katika imani za namna 3.
1. Imani ya Muombeaji. Wewe unayeombea mtu una imani ya namna gani mbele za Mungu. Lazaro alilala mauti ila Yesu alimfufua. Petro na Yohana walimuombea yule Mlemavu pale kwenye lango la Hekalu katika kitabu cha Matendo ya Mitume. Kilichofanyika pale ni uponyaji wa kimungu pitia imani waliyokuwa nayo akina Petro.
2. Imani ya muombewaji. Yesu alikuwa anawauliza sana wale aliokuwa anataka waombea kama unaamini. Inawezekana wewe muombeaji una imani ya kuhamisha milima ila muombewaji hana imani hata chembe. Na hii ndio maana hata wakati Yesu akiwa duniani hakuwa anajisumbukia kufuata wagonjwa mahospitalini au majumbani mwao.
3. Imani ya Tatu ni ya Mungu mwenyewe hapa namaana ni yeye kutaka kujitwalia utukufu. Sisi Wakristo imani hii ya Mungu tumepewa sisi pitia mamlaka ya Yesu kristo.
Bali kwa ushuhuda wako, binafsi ni mkristo na nimeokoka maswali TAG ila katika kitu ambacho siamini na binafsi nakwenda nacho taratibu ni shuhuda za Mungu kaniambia moja mbili tatu. Ukiangalia shuhuda hizi nyingi hazina msingi wa Neno la Mungu. Leo unatabiri eti Mungu kanionesha nimuombee mtu kavaa nguo fulani, soksi fulani n.k then huyo mtu anakuja kanisani kwa kuvaa kama ulivyosema. Hilo halina msingi wa Kibiblia.
Naweza hitimisha kuwa, Matendo ya uponyaji na miujiza ni Karama za Roho Mtakatifu naye humpa amtakaye lakini Karama hizi zina Lengo moja tu. Kulijenga kanisa la Yesu na sio Kujijengea heshima binafsi ya Nabii/Mtumishi kama ilivyo sasa.
Mgonjwa ndie umfuata daktari, ndio kanuni ya uponyajiNa wenye imani ni wale tu wenye uwezo wa kuwafata hao manabii/mitume/makuhani huko makanisani kwao? Maana sijawahi sikia hao manabii wakienda mahospitalini kujitafutia wenye kuwaamini ili wawaponye huko huko. Au kwa vile idadi kubwa kama siyo wote wa wale "wenye imani" wanaoonekana kuponywa huko makanisani kwao ni wa mchongo?
Hadi uwe na macho ya rohoniWakuu
Kwa sasa
Kuna msitari mwembamba unaotenganisha;- unabii au utabiri,uganga,miujiza na uponyaji wa Mungu mwenyewe,na makanisa ya kweli ambayo hatuna shaka nayo kuwa MUNGU NDIO ANATUMIKIWA!
Penye feki na original ipoMakanisa biashara
Biashara matangazo
Yale unayoona ni matangazo
We ulikuwepo wakati watu wakifunguliwa hayo unayosema kwanini mnatapelika kirahisi sana?
Yani mtu ametengeneza story tu anakuja anakusimulia na wewe unaamini hapohapo