Nina tatizo gani mimi? Napenda sana kuwa peke yangu

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni kipindi katika makuzi kitapita, ila uamuzi utakaochukua sasa ndio utakuwa haiba yako
 
This is exactly me!!
 
Everybody in lifetime once in a while needs to be alone. Hua na enjoy sana sometimes kua alone, me, myself and I. Na pale napohitaji company of some people hua sisiti kuwatafuta.. Wasipopatikana basi simu inahusika charting, talking, etc au sometimes kujitoa out mwenyewe. Na kuna wakati nikipata wageni na enjoy afu namis kua alone again.. Wakiondoka full kujiachia.. All in all loneliness feelings should be conquered..and so does depression.
 
Napenda wadada kama wewe... Boy friend Wa Kudo hadi mtake wenyewe njoo pm nikupe namba yangu ukihitaji naja faster
 
Asante mkuu. Lakini nimekuwa nahisi kama ni tatizo. Najiuliza Hii hali imetoka wapi wakati zamani sikuwa hivi. Kama wewe unaenjoy basi hongera sana.
Mimi pia nilikuwa na marafiki wengi na ndugu, kila j2 au jmosi ilikuwa ni cookout nyumbani kwangu, lakini kama 5yrs ago ndiyo nikaanza kujitenga na kwa kweli nina amani kuliko enzi ya marafiki na mandugu, maana kulikuwa na unafik na uwivu wa kupindukia!
 
Napenda wadada kama wewe... Boy friend Wa Kudo hadi mtake wenyewe njoo pm nikupe namba yangu ukihitaji naja faster
Duduwasha, hahahaha umenichekesha sana ndugu yangu!
 
Mimi ni genius kiasi. Nimefaulu sana masomo ya sekondari, nina first class degree kwenye bachelor yangu ya kwanza, kwasasa nasoma masters na semesters zangu zinang'aa vizuri
Kufaulu mitihani mnayotungiwa na makanjanja sio u-genius, Sir Newton alikuwa anafeli darasani lakini alikuwa genius kuliko mwalimu wake. Hizo ni dalili za stress tu.
 
Pole. Sana.na hii Mara nyingi ndio chanzo
 
Hizo ni miongoni mwa dalili ya matatizo ya akili au ndio hutaki tena wa dunia hii unafariki karibuni
 
Ukiitaji company tena nishtue
 
Kama ulikuwa ni mtu WA kujichanganya halafu ghafla bin vuu umejitenga, then kuna kitu kimetrigger hii hali. If you're not depressed it's okay.
Enjoy time out.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…