Nina tatizo kubwa la upungufu wa nguvu za kiume

Nina tatizo kubwa la upungufu wa nguvu za kiume

Tumbili wa Mjini

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2023
Posts
3,957
Reaction score
8,206
Habari wote, mimi ni kijana nasumbukiwa na upungufu wa nguvu za kiume tena sana mpaka nakata tamaa ya maisha, nikiwa na mwanamke bao la kwanza namwaga ndani ya dakika moja na baada ya hapo sipati tena hamu mpaka baada ya masaa kama sita.

Nimeenda hospitalini ni kaonekana na kiwango Cha 0.69 Cha testerone ajabu nikaambiwa niwe nakula vizuri ila ukweli nakula vizuri tu, nilienda mpaka kwa waganga wa kienyeji ila sijaona mabadiliko.

Kuna kipindi nikiwa na mwanamke sipati kabisa hisia na nimeachwa na wanawake wengi.

Naombeni msaada.
 
Habari wote, mimi ni kijana nasumbukiwa na upungufu wa nguvu za kiume tena sana mpaka nakata tamaa ya maisha, nikiwa na mwanamke bao la kwanza namwaga ndani ya dakika moja na baada ya hapo sipati tena hamu mpaka baada ya masaa kama sita, nimeenda hospitalini ni kaonekana na kiwango Cha 0.69 Cha testerone ajabu nikaambiwa niwe nakula vizuri ila ukweli nakula vizuri tu, nilienda mpaka kwa waganga wa kienyeji ila sijaona mabadiliko.kuna kipindi nikiwa na mwanamke sipati kabisa hisia na nimeachwa na wanawake wengi.
Naombeni msaada.
Tumbiliii
 
Pole sana ndugu yangu. Ushauri wangu ni urudi hospitalini kwa daktari bingwa wa mfumo wa mkojo na uzazi (urologist) au daktari wa homoni. Kiwango cha testosterone cha 0.69 kinahitaji kufafanuliwa kulingana na vipimo vilivyotumika na vipimo vya maabara, hivyo usikate tamaa wala kujitibu bila uchunguzi wa kutosha.

Kumwaga haraka na kukosa hamu baada ya tendo ni mambo yanayoweza kuwa na visababishi tofauti, na yanaweza kutibika kulingana na chanzo. Usikimbilie tena kwa waganga au kutumia dawa za kuongeza nguvu bila ushauri wa daktari. Tafadhali chukua majibu yako ya vipimo uende nayo hospitalini kwa uchunguzi zaidi.

Naomba usikate tamaa ya maisha kwa sababu ya hili. Hali hii haipunguzi thamani yako kama mwanaume, na bado kuna hatua za kitabibu zinazoweza kusaidia. Mungu akupe nguvu na akujaalie upate matibabu sahihi, ndugu yangu.
 
kuna kipindi nikiwa na mwanamke sipati kabisa hisia na nimeachwa na wanawake wengi.
Naombeni msaada.
Wakati kuna wahuni tunashikiria kiuno mpaka mwanamke anaanza kudemka huku kuna ambao wakishikiria kiuno dakika 1 wazungu hawa hapa, kweli Mungu hakupi unachotaka

premature ejaculations vs delayed ejaculations
 
Shida yako kibwa iko kwenye fikra ulizojenga kwenye akili yako ,umeshaiambia akili unashida na imejenga hiyo hisia pambana na psychology ya akili uliyojijengea kwanza jiamini mkuu.... msaada wa kwanza ni wewe

Bro hamna dawa za kunywa na kutibu tatizo
 
Habari wote, mimi ni kijana nasumbukiwa na upungufu wa nguvu za kiume tena sana mpaka nakata tamaa ya maisha, nikiwa na mwanamke bao la kwanza namwaga ndani ya dakika moja na baada ya hapo sipati tena hamu mpaka baada ya masaa kama sita, nimeenda hospitalini ni kaonekana na kiwango Cha 0.69 Cha testerone ajabu nikaambiwa niwe nakula vizuri ila ukweli nakula vizuri tu, nilienda mpaka kwa waganga wa kienyeji ila sijaona mabadiliko.kuna kipindi nikiwa na mwanamke sipati kabisa hisia na nimeachwa na wanawake wengi.
Naombeni msaada.
Acha uzinzi maana hata kama Mungu anataka kukurudishia hizo nguvu anaona hutazitumia inavyopasa,oa kwanza halafu umuombe Mungu kila kitu kitakaa sawa...
 
Back
Top Bottom