Nina tatizo kubwa la upungufu wa nguvu za kiume

Nina tatizo kubwa la upungufu wa nguvu za kiume

Wala sio hizo nguvu!

Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula mbovu ndio umekifikisha hapo ulipo!

Kegel exercise inaweza kuchelewesha umwagaji wa mapema!

Fanyia KAZI mambo kama haya:-

1.unapata choo kwa wakati!!?na ukienda hauchukui muda mrefu sana!!?

2.una uwezo wa kuzuia mkojo wakati unakojoa yaani ghafula tu ukaukata wakati unakojoa na upon comfortable!!?

Jaribu hiyo exercise yaani bana achia bana achia baada ya muda misuli ya kegel itakua strong na angalau utaenda dakika nyingi sana kwenye game!
 

Pole Mnoo....
Nipasie Namba Za Huyo Bibiee,,Ambaye Hukufanikiwa Kuufaidi Haswa Uumbaji Wa Baba Muumba....Ili Tuweze Kukusapoti Katika Hilo Linalo Kusibu,,Kumfanya Bibiee Afurahie Kuumbwa Wa Kike....
###KamaHutojaliLakini##@
​
 
Shida yako kibwa iko kwenye fikra ulizojenga kwenye akili yako ,umeshaiambia akili unashida na imejenga hiyo hisia pambana na psychology ya akili uliyojijengea kwanza jiamini mkuu.... msaada wa kwanza ni wewe
Kama apigi punyeto na haangalii picha chafu uyo yupo fiti kinoma sema saikorojia yake mbovu tu!!!!!!
 
Back
Top Bottom