Durovic
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 4,102
- 7,457
Tumia dawa zote unazojua ila akili yako ikishaamini una tatizo huwezi kulitibu unless umedeal na iyo imani uliyojiwekea ,huwezi kunielewa ila angalia imani ya uyo jamaa iko wapi na akili yake inaamini ana tatizo cha kwanza huyo jamaa wee muulize akiwa na mwanamke kabla hawajaanza huwa anajiuliza nini ?Hapana kaka ana tatizo tusiwe tunapeana moyo fikra fikra fikra hapana nakataa mambo ya fikra yanahisiana nini na huko chini? Kwa hiyo wenye kusukuma kiuno vizuri wote wako sawa kifikra?
Lakini swali ni kuhusu kama siku hiyo jogoo atasimama?