Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Mdanganyeee😂Dkk moja n nyingi sana mzee, mwanaume rijali anamwaga ndani ya 30 sec na mechi n mara moja kwa siku tuu
Mdanganyeee😂Dkk moja n nyingi sana mzee, mwanaume rijali anamwaga ndani ya 30 sec na mechi n mara moja kwa siku tuu
Nyie ndo mnafanya vijana wameze viagra 😂Mdanganyeee😂
Sio muda sahihi dk moja ndio maana kaomba ushauri mazee..Huo ndio muda sahihi, kama anataka game la muda mrefu bc mpakie vumbi la Kongo
Hapo kwenye "nimeachwa na wanawake wengi" ndipo kuna tatizo.Habari wote, mimi ni kijana nasumbukiwa na upungufu wa nguvu za kiume tena sana mpaka nakata tamaa ya maisha, nikiwa na mwanamke bao la kwanza namwaga ndani ya dakika moja na baada ya hapo sipati tena hamu mpaka baada ya masaa kama sita, nimeenda hospitalini ni kaonekana na kiwango Cha 0.69 Cha testerone ajabu nikaambiwa niwe nakula vizuri ila ukweli nakula vizuri tu, nilienda mpaka kwa waganga wa kienyeji ila sijaona mabadiliko.kuna kipindi nikiwa na mwanamke sipati kabisa hisia na nimeachwa na wanawake wengi.
Naombeni msaada.
Na watakufa mno! Ameze vitunguu saumu😆Nyie ndo mnafanya vijana wameze viagra 😂
Daah kipato tena..Una umri gani? Kazi yako? Kipato chako kiasi gani? Umewahi kuwa na mtoto kabla?
Mkuu tatizo itakuw presha kwny jamii si unajua tenaMatatizo yanakuepuka unayalazimisha,kama huna hisia na mwanamke si ni umetoboa kabisa ama mi ndo sielewi?
N wasiwasi wake tuu na bahati mbaya yupo na wanawake ambao sio sahihi kwake ndo mana anahisi hayupo sahihi.Sio muda sahihi dk moja ndio maana kaomba ushauri mazee..
Hapo kwenye "nimeachwa na wanawake wengi" ndipo kuna tatizo.
Suluhisho
acha kuishi kama beberu au kijogoo, au dume la nguruwe wewe ni binadamu uliyeumbiwa mke mmoja na kufanya kazi kwa weledi.
Naamini hao waliokuacha siyo wake(wives) ni wanawake(women)
AMINI NAKUAMBIA
ukitulia na mke mmoja kama umeoa au ukaachana na maswala ya wanawake kabisa kama hujaoa ukaamua kuokoka na kutumia tiba za hospitali dhidi ya magonjwa kadha (kama ndo tatizo) utabaki salama sana kuliko kujaribu kuwaiga mbwa ukijaribu aina tofauti za wanawake.
Takeaway2
95% ya wanalia NGUVU za kiume huwa ni wanunuaji wa Malaya na waliooa kwa kudhani ndoa ni kufanya mapenzi kwa ujumla wake nk
Ndio dawa eee?Na watakufa mno! Ameze vitunguu saumu😆
Sio muda sahihi dk moja ndio maana kaomba ushauri mazee..
Una umri gani? Kazi yako? Kipato chako kiasi gani? Umewahi kuwa na mtoto kabla?
Ok umeona suluhu kwenye maelezo au IKIWA Bado nijulisheBro mpaka naandika Uzi humu ujue tatizo langu ni kubwa sanaa Yani nimechanganyikiwa sielewi mpaka Kuna kipindi nilitaka kujitoa uhai, Kuna jamaa yangu anajua tatizo uwa ananionea huruma sana
Pole sanaHabari wote, mimi ni kijana nasumbukiwa na upungufu wa nguvu za kiume tena sana mpaka nakata tamaa ya maisha, nikiwa na mwanamke bao la kwanza namwaga ndani ya dakika moja na baada ya hapo sipati tena hamu mpaka baada ya masaa kama sita, nimeenda hospitalini ni kaonekana na kiwango Cha 0.69 Cha testerone ajabu nikaambiwa niwe nakula vizuri ila ukweli nakula vizuri tu, nilienda mpaka kwa waganga wa kienyeji ila sijaona mabadiliko.kuna kipindi nikiwa na mwanamke sipati kabisa hisia na nimeachwa na wanawake wengi.
Naombeni msaada.