Ukisoma vizuri pale utaelewa
Hapo kwenye "nimeachwa na wanawake wengi" ndipo kuna tatizo.
Suluhisho
acha kuishi kama beberu au kijogoo, au dume la nguruwe wewe ni binadamu uliyeumbiwa mke mmoja na kufanya kazi kwa weledi.
Naamini hao waliokuacha siyo wake(wives) ni wanawake(women)
AMINI NAKUAMBIA
ukitulia na mke mmoja kama umeoa au ukaachana na maswala ya wanawake kabisa kama hujaoa ukaamua kuokoka na kutumia tiba za hospitali dhidi ya magonjwa kadha (kama ndo tatizo) utabaki salama sana kuliko kujaribu kuwaiga mbwa ukijaribu aina tofauti za wanawake.
Takeaway2
95% ya wanalia NGUVU za kiume huwa ni wanunuaji wa Malaya na waliooa kwa kudhani ndoa ni kufanya mapenzi kwa ujumla wake nk
Sijapata suluhu kwa wadau zaidi ya kejeli