Tumbili wa Mjini
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 3,957
- 8,206
TumbiliiiHabari wote, mimi ni kijana nasumbukiwa na upungufu wa nguvu za kiume tena sana mpaka nakata tamaa ya maisha, nikiwa na mwanamke bao la kwanza namwaga ndani ya dakika moja na baada ya hapo sipati tena hamu mpaka baada ya masaa kama sita, nimeenda hospitalini ni kaonekana na kiwango Cha 0.69 Cha testerone ajabu nikaambiwa niwe nakula vizuri ila ukweli nakula vizuri tu, nilienda mpaka kwa waganga wa kienyeji ila sijaona mabadiliko.kuna kipindi nikiwa na mwanamke sipati kabisa hisia na nimeachwa na wanawake wengi.
Naombeni msaada.
Dkk moja n nyingi sana mzee, mwanaume rijali anamwaga ndani ya 30 sec na mechi n mara moja kwa siku tuu
Pole sana ndugu yangu. Ushauri wangu ni urudi hospitalini kwa daktari bingwa wa mfumo wa mkojo na uzazi (urologist) au daktari wa homoni. Kiwango cha testosterone cha 0.69 kinahitaji kufafanuliwa kulingana na vipimo vilivyotumika na vipimo vya maabara, hivyo usikate tamaa wala kujitibu bila uchunguzi wa kutosha.Habari wote, mimi ni kijana nasumbukiwa na upungufu wa nguvu za kiume tena sana mpaka nakata tamaa ya maisha, nikiwa na mwanamke bao la kwanza namwaga ndani ya dakika moja na baada ya hapo sipati tena hamu mpaka baada ya masaa kama sita, nimeenda hospitalini ni kaonekana na kiwango Cha 0.69 Cha testerone ajabu nikaambiwa niwe nakula vizuri ila ukweli nakula vizuri tu, nilienda mpaka kwa waganga wa kienyeji ila sijaona mabadiliko.kuna kipindi nikiwa na mwanamke sipati kabisa hisia na nimeachwa na wanawake wengi.
Naombeni msaada.
Wakati kuna wahuni tunashikiria kiuno mpaka mwanamke anaanza kudemka huku kuna ambao wakishikiria kiuno dakika 1 wazungu hawa hapa, kweli Mungu hakupi unachotakakuna kipindi nikiwa na mwanamke sipati kabisa hisia na nimeachwa na wanawake wengi.
Naombeni msaada.
Shida yako kibwa iko kwenye fikra ulizojenga kwenye akili yako ,umeshaiambia akili unashida na imejenga hiyo hisia pambana na psychology ya akili uliyojijengea kwanza jiamini mkuu.... msaada wa kwanza ni wewe
Acha uzinzi maana hata kama Mungu anataka kukurudishia hizo nguvu anaona hutazitumia inavyopasa,oa kwanza halafu umuombe Mungu kila kitu kitakaa sawa...Habari wote, mimi ni kijana nasumbukiwa na upungufu wa nguvu za kiume tena sana mpaka nakata tamaa ya maisha, nikiwa na mwanamke bao la kwanza namwaga ndani ya dakika moja na baada ya hapo sipati tena hamu mpaka baada ya masaa kama sita, nimeenda hospitalini ni kaonekana na kiwango Cha 0.69 Cha testerone ajabu nikaambiwa niwe nakula vizuri ila ukweli nakula vizuri tu, nilienda mpaka kwa waganga wa kienyeji ila sijaona mabadiliko.kuna kipindi nikiwa na mwanamke sipati kabisa hisia na nimeachwa na wanawake wengi.
Naombeni msaada.
Acha jf madaktari wakupe ushauri
Dkk moja n nyingi sana mzee, mwanaume rijali anamwaga ndani ya 30 sec na mechi n mara moja kwa siku tuu
Huo ndio muda sahihi, kama anataka game la muda mrefu bc mpakie vumbi la KongoBro demu amenitukana sana
Yaani hapa ndio shida yako ilipo .!Bro hamna dawa za kunywa na kutibu tatizo