Nina tatizo la kusahau (kupoteza kumbukumbu)

ACHA KUPIGA PUNYETO!.
Hiyo ndio tiba pekee.
 
I might sound crazy but kwa umri mdogo ukiwa hivyo huenda ni kipapai. Kuna wakati nilikuwa mzuri sana shule ila atlast nikawa na tatizo la kusahau na kuongea kiingereza nikawa nastuck stuck yani maneno nayajua ila nikitaka kutamka ni lazima niyatafute. Atlast nilikuja gundua nilipigwa kipapai😁 baada ya kufanyiwa deliverance im now restored!
 
Uongo..!!
Hukuwa mpiga nyeto wewe?? 😹😹
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
2015 Juzi???? Unanifananisha na wewe wa 2024???? Acha Majungu dada au mnazungumzia Troll JF Yupi? Tena umenikumbusha leo ndo Siku niliyojiunga so nimetimiza miaka 11
View attachment 3540309
2015 ni juzi. Mi ni platinum member tangu 2011 kwenye ID yangu nyingine ambayo watu wanaiheshimu kwa sababu siitumii kupostia mambo ya hovyo.
 
Mbona uzi unaukumbuka unauchungulia kila mda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…