Nina tatizo la kusahau (kupoteza kumbukumbu)

Punguza kupiga pun-yeto. Ikiwezekana acha kabisaaa.
 
Unajua michezo hiyo Sina.
Acha niendelee kuziweka tu.

Siku mashetani ya kikupanda.

Kama nakaona ka chino kidi kingine duniani.
Au sio 😹
Halafu chino mbona umejibu wewe?
Au ndo matipo id
 
hahaha!
Umeanza kua na wasi wasi na chino.

Acha kujificha!! Nilikumiss nikasema nikuserch ndo nikakuta kwenye hii tread.

Nami nikapita na biti humo humo kama ulivyolianzisha
Kwahiyo huwa unani search 😹😹
Valentine nakuja shamba weka location mapema mchuchu 🥰
 
Nazamaga kuja kukutizama tu nafsi ya chino itulie.

Achaga kunibania Kule mchuchu.
Mwaka wa 6 huu.
Nitakufungulia bana unipe mastory ya auntie mshunuu wangu 🥰

Ameanza shule au bado?
Chino Una binti mzuri sana….!!
 
Nitakufungulia bana unipe mastory ya auntie mshunuu wangu 🥰

Ameanza shule au bado?
Chino Una binti mzuri sana
Yupo anazak primary school.
Toka mwaka Jana.

Afu ni kichwa kama baba ake tu japo Sina Hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…