Nina tatizo la kutopata internet ruta ya airtel. Ili ni tatizo la wote au mimi peke yangu?

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,332
Reaction score
4,822
Nina wiki sasa siwezi access internet kutumia ruta ya airtel. Nililipia unlimited bundle 70k lakini nimetumia siku moja tu ndio nilibahatika kupata internet.niliongea nao kwa simu sikupewa majibu ya kueleweka naona uko wanaajiri watu wajinga wajinga wa kuokota wa bei chee maana ilibidi nikate simu kuliko kuongea na mtu hajui ata anachokilezea. VIP wenzangu wenye router mnapat internet?
 
internet inapatikana mkuu ila hao airtel hawoko vizuri kwenye router zao mtandao unakua chini sana.
 
Nina wiki sasa siwezi access internet kutumia ruta ya airtel. Nililipia unlimited bundle 70k lakini nimetumia siku moja tu ndio nilibahatika kupata internet.niliongea nao kwa simu sikupewa majibu ya kueleweka naona uko wanaajiri watu wajinga wajinga wa kuokota wa bei chee maana ilibidi nikate simu kuliko kuongea na mtu hajui ata anachokilezea. VIP wenzangu wenye router mnapat internet?
La kwako mkuu
 
Mkuu ni shida tupu! Mwezi huu ni kama wamekula 70k yangu.Mimi niko kwenye process ya kuachana na Airtel.
 
Back
Top Bottom