Nina tatizo la ‘short temper’. Nisaidieni jinsi ya kuepukana nalo

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,319
Reaction score
6,878
Mimi ni mtu wa kukasirika hasira Kali kwa haraka sana tena mpaka mwili unaweza kutetemeka kwa hasira ya jambo dogo

Jambo ambalo linapelekea kususa au kugombana na baadhi ya watu

Naombeni njia na mbinu za kuachana na tatizo hili.
Ahsante snaa
 
Deep breath 😮‍💨 (Ukiona unaanza tu kupata hasira, vuta pumzi ndefu ndefu) na ujiondoe kwenye situation au mazingira yanayokukasirisha kabla hasira hazijachanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…