Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Hasira za maisha hizi ni stress zinamsumbua akipata pesa za uhakika hatokuwa na hizi hasira! Anywe maji mengi tu kwa sasa hana jinsi😁Umewahi kupigwa mpaka ukachakaa kwa hizo short temper zako?
Wewe una stress,kuna mambo mazito unayapitia au uliyapitia,mara nyingi hali hii pia huambatana na mtu kua na huruma sana.
Vunja roho za makasiriko kijana beachboy..