Nina tatizo la ‘short temper’. Nisaidieni jinsi ya kuepukana nalo

Nina tatizo la ‘short temper’. Nisaidieni jinsi ya kuepukana nalo

Wakikwambia uende kwa Mwamposa afukuze mapepo huo ni utapeli, kunywa maji mengi kisha utafute mbususu ya kuchakata naimani utapona maana hasira zako zinatoka na kukosa kiburudisho cha moyo.
 
Sawa nazingatia hili mkuu
Fanya mazoezi na pia uwe unakula kwa wakati kunywa maji ya kutosha bila kusahau juice au matunda mara kwa mara hii inafanya mzunguko wako wa damu kuwa sawa hata kitu kikitokea mwili unaweza kwenda na hiyo hali..mtu unachelewa kula Njaa harafu mtu akigusa hata majani unakua mkali balaa kama pilipili watu wanakushauri vitu vingi ila lishe inachangia sana watu kuwa na hasira kama wanakosa kupata kwa wakati sahihi
 
Mimi ni mtu wa kukasirika hasira Kali kwa haraka sana tena mpaka mwili unaweza kutetemeka kwa hasira ya jambo dogo

Jambo ambalo linapelekea kususa au kugombana na baadhi ya watu


Naombeni njia na mbinu za kuachana na tatizo hili.
Ahsante snaa
Ibadilishe iwe long temper mkuu shprt temper itakuwa imeisha
 
Mimi ni mtu wa kukasirika hasira Kali kwa haraka sana tena mpaka mwili unaweza kutetemeka kwa hasira ya jambo dogo

Jambo ambalo linapelekea kususa au kugombana na baadhi ya watu

Naombeni njia na mbinu za kuachana na tatizo hili.
Ahsante snaa
Tabia za kike.
 
Nimeishi maisha yangu yote ya utoto na ujana kupigana kila kukicha, kuanzia kwenye mpira na watoto wa mitaa mingine mpaka shule ya msingi, na pia sekondari mamonitor walikuwa wananijua, mpaka niko chuo ilikuwa ikiwa kwenye mechi basi mimi natafuta ugomvi na washabiki wa timu nyingine.
Mara ya mwisho kupigana ilikuwa nina miaka 26 nikiwa kazini na kufukuzwa kazi lakini nilishaichoka nakajitafutia sababu.
Leo nikiona hivi vijingajinga vinajifanya vina hasira kupandisha mzuka huwa nawaangalia tu nacheka
 
Jikite zaidi katika kulisha 'ufahamu' kwa mfano kusoma vitabu ili kapanua maarifa badala ya kulisha 'hisia' kwa mfano kusikiliza sana muziki na kushabikia mpira.
 
Umewahi kupigwa mpaka ukachakaa kwa hizo short temper zako?

Wewe una stress,kuna mambo mazito unayapitia au uliyapitia,mara nyingi hali hii pia huambatana na mtu kua na huruma sana.
 
Back
Top Bottom