Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
- Thread starter
-
- #21
Naanza kufanya ivo ntakupa feedback mzee wa KAZIFanya meditation ya pumzi angau dakika 10 tu kwa siku mara mbili kama huyo dada alie kuelekeza hapo juu.
Pia hakikisha unakunywa maji ya kutosha na kuepuka ugomvi ukiona dalili zake tu
Nashukuru sanaWakikwambia uende kwa Mwamposa afukuze mapepo huo ni utapeli, kunywa maji mengi kisha utafute mbususu ya kuchakata naimani utapona maana hasira zako zinatoka na kukosa kiburudisho cha moyo.
Meditation 🧘♂️ iwe sehemu ya maisha yako angalau mara mbili mpka tatu kwa siku , mimi nafanya hivyo piaNaanza kufanya ivo ntakupa feedback mzee wa KAZI
Sawa kaka ngoja niende google ni search how to practice accurate meditation...nijue procedure zote ili niwe nafanya kwa ukamilifuMeditation 🧘♂️ iwe sehemu ya maisha yako angalau mara mbili mpka tatu kwa siku , mimi nafanya hivyo pia
Sawa nazingatia hili mkuuOndoka eneo ulilopo au kaa kimya bila kujibu chochote.
Akindika hivyo Gen z anamaanisha umri..26 nini?
Fanya mazoezi na pia uwe unakula kwa wakati kunywa maji ya kutosha bila kusahau juice au matunda mara kwa mara hii inafanya mzunguko wako wa damu kuwa sawa hata kitu kikitokea mwili unaweza kwenda na hiyo hali..mtu unachelewa kula Njaa harafu mtu akigusa hata majani unakua mkali balaa kama pilipili watu wanakushauri vitu vingi ila lishe inachangia sana watu kuwa na hasira kama wanakosa kupata kwa wakati sahihiSawa nazingatia hili mkuu
Unakaribishwa tena kwa mara nyingine.Nashukuru sana
Ibadilishe iwe long temper mkuu shprt temper itakuwa imeishaMimi ni mtu wa kukasirika hasira Kali kwa haraka sana tena mpaka mwili unaweza kutetemeka kwa hasira ya jambo dogo
Jambo ambalo linapelekea kususa au kugombana na baadhi ya watu
Naombeni njia na mbinu za kuachana na tatizo hili.
Ahsante snaa
Tabia za kike.Mimi ni mtu wa kukasirika hasira Kali kwa haraka sana tena mpaka mwili unaweza kutetemeka kwa hasira ya jambo dogo
Jambo ambalo linapelekea kususa au kugombana na baadhi ya watu
Naombeni njia na mbinu za kuachana na tatizo hili.
Ahsante snaa