Hasira za maisha hizi ni stress zinamsumbua akipata pesa za uhakika hatokuwa na hizi hasira! Anywe maji mengi tu kwa sasa hana jinsi😁Umewahi kupigwa mpaka ukachakaa kwa hizo short temper zako?
Wewe una stress,kuna mambo mazito unayapitia au uliyapitia,mara nyingi hali hii pia huambatana na mtu kua na huruma sana.
Nashukuru sana ndugu yanguHasira za maisha hizi ni stress zinamsumbua akipata pesa za uhakika hatokuwa na hizi hasira! Anywe maji mengi tu kwa sasa hana jinsi😁
Vunja roho za makasiriko kijana beachboy..
Tupo pamoja kwenye hiliMimi ni mtu wa kukasirika hasira Kali kwa haraka sana tena mpaka mwili unaweza kutetemeka kwa hasira ya jambo dogo
Jambo ambalo linapelekea kususa au kugombana na baadhi ya watu
Naombeni njia na mbinu za kuachana na tatizo hili.
Ahsante snaa
Ni kweliHasira za maisha hizi ni stress zinamsumbua akipata pesa za uhakika hatokuwa na hizi hasira! Anywe maji mengi tu kwa sasa hana jinsi😁
Vunja roho za makasiriko kijana beachboy..
Nilikuwa hivyo zamani, nilikuwa nna hasira mtu akiniuliza swali lolote ata la kijinga nampa jibu la kipumbavu anatoka hapo sukari imepanda😂Ni kweli
Stress zinachangia shirt temper
Mimi pia nina experimce hiyo hali nikiwa na stress
🤣
Duh kwel jfNilikuwa hivyo zamani, nilikuwa nna hasira mtu akiniuliza swali lolote ata la kijinga nampa jibu la kipumbavu anatoka hapo sukari imepanda😂
Jipe muda taratibu utakaa sawa, muda mwingi usikae na watu, ujizoeshe pia kubana pumzi kwa muda mrefu kama min -me alivyo eleza uko juu na kunywa maji mara kwa mara, mi nna kunywa maji mengi sana kwa siku kuanzia lita 3!
NB; tafuta bwana akushike t@ko🤣
Inasaidia ndiomaana nimeandika!Duh kwel jf
Hiyo NB ilikua na umuhim gan