Nina tsh 15,000/= nataka kwenda Dodoma, ni chimbo gani naweza kupata usafiri wa kiasi hicho?

Nina tsh 15,000/= nataka kwenda Dodoma, ni chimbo gani naweza kupata usafiri wa kiasi hicho?

Hapo option ni malori, au lah tren la MGR, zile siti zetu za "kajamba-nani" naamini kwa hela hiyo unafika dom.

Au lah, ingia mtandaoni SGR kata tiketi ya bei yako, bila shaka utapaswa ushukie vituo vya katikati ya moro na dom, kituo chako kikifika unaminya, ukikata ya moro, mkifika moro ukiminya, wakat wa kuondoka wanaweza kagua tena
 
Back
Top Bottom