Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
Ukienda Mbezi pia nadhani kuna raia pale!Wanatega pande zp kaka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukienda Mbezi pia nadhani kuna raia pale!Wanatega pande zp kaka?
Konnection 😃Ongea vizuri na watu wa SGR utapata usafiri...wanakukatia tiketi ya buku wanakupa risiti wanachukua 14 wanaweka kibindoni.
Yes ile njia ya Ukuta wa MaBUS ya Mwendokasi kwa mbele kuna malori kibao.Nenda jangwani
Nenda big bon pale ulizia kuna sehemu kuna malori yanapaki jirani pale
Kwa hyo 15000 unafika bila wasi
Ova
Ila hujasema unakimbizwa na nani?Unafit kwenye buti?
Afu apande usikuKata tiketi ya SGR ya morogoro usishuke mpaka dodoma,ukifika une unishukuru
Kata tiketi ya SGR ya morogoro usishuke mpaka dodoma,ukifika une unishukuru
Amtefute mtu anaitwa Mlai ni wakara wa mafuso na maloriNenda jangwani
Nenda big bon pale ulizia kuna sehemu kuna malori yanapaki jirani pale
Kwa hyo 15000 unafika bila wasi
Ova
Yah hapo hapoYes ile njia ya Ukuta wa MaBUS ya Mwendokasi kwa mbele kuna malori kibao.
Kata tiketi ya SGR ya morogoro usishuke mpaka dodoma,ukifika une unishukuru
Mnataka wamtoe mfano?Ongea vizuri na watu wa SGR utapata usafiri...wanakukatia tiketi ya buku wanakupa risiti wanachukua 14 wanaweka kibindoni.
Ahsante mkuuUkienda Mbezi pia nadhani kuna raia pale!
Fika kimara bucha au baruti au corner
Akatege IT AU LORRY ila ajiongeze kdg hata 20000 hv ina make senseKûna nini hapo?
Ushapata usafiri?Buguruni sheli