Nina Tsh 150,000 tu, nifanye nini ndani ya siku kumi na tano nipate Tsh 3,000,000?

Basi kaka hujanielewa nini nimekusudia.
Biashara ya nafaka haina mlolongo mkubwa sana na haina changamoto nyingi kama ya madini.
Nilichomaanisha biashara ya madini ina milolongo mingi na ina changamoto kubwa kuliko ya nafaka.
 
Nenda kwa Bashe ukaombe kibali cha kuagiza sukari. Kuna meana hapa kitaa huwa anafanya deal za kuhamishia watu miziki na movies kutoka kweny computer yake na kuwawelea kwenye simu na flash yeye pia kimzahamzaha amepewa kibali cha kuagiza sukari.
 
Ila mbona jamaa katoa maelezo clear tu man, kila ulichouliza kajibu furesh kabisa ni wewe tu kuthibitisha kwa kuingia field nafikiri.
Hayo mambo ya anaendesha gari gani ili uamini naona kama una sound personal kidogo.
mkuu huyo jamaa ni tapeli, ni anacheza na maneno tu uhalisia haupo, hv mkuu ununue kilo moja ya dhahabu kwa 90m uende sokoni upate faida ya 57m hv kwa akili yako inaingia akilin hata kama hujui kuhusu hyo biashara. nakuapia mkuu hakuna digala anapata faida ya zaid ya 10k/g kwenye dhahabu, tena hapo kacheza michezo michafu kama kutemper na scale etc. dhahabu ingekuwa na faida kubwa kama jamaa anavodai tusingekuwa kunapishana na madigala kwa mama lishe kufuata ugali dagaa mkuu. 57k/g faida? over my dead body, tena unafanya uchuuzi sio hata kuwa umedhamini duara? which is too risky, kupoteza hela ni kugusa tu.
 
Mi nimefanya sana biashara ya machimboni ndo maana jamaa hata nimeamua kumpotezea tu, unachosema ndo uhalisia, faida per gram ni elfu 6 mpaka 8, that's it, ila faida ya elf 57 sasa Kila mtu si angeenda tu kuuzia sokoni....


Alafu unamshauri mtu aende machimboni na laki 3 akawe kota/digala kweli???πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Hata mtaji wa gram 2 Hana? Aisee
 
nenda katoe sadaka kwa Mungu.
 
Gram 56 per week siyo kitoto mkuu kwa mfumo huo?......Afu hiyo bei ya mwaka gani au Mgodi gani 90k@1gram
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…