Nina Tsh 150,000 tu, nifanye nini ndani ya siku kumi na tano nipate Tsh 3,000,000?

Kama upo shap uza kipodozi Cha Congo kutoka Tunduma ndani ya mwezi una eza piga 1,500,000/=
Kwa mtaji huwo kikubwa upate wateja sahihi na vipodiz sahii mfano ukanunua vitube vinavyo uzwa 2000 Tunduma Dar 4000
Hapo ukapata wateja wa uhakika location ya uhakika unatoboa
 
Olewa tu shosti.
 
Hivi hizi karat huwa ni nini? Unakuta hereni imepostiwa karat 18, ndio zinakua nini??
 
Mkuu mifano yako mingi huwa naona una wadau wengi sana walio kwenye system ya madili makubwa kubwa. Hongera sana una back up kubwa sana nyuma yako, mpaka kuwapata hao ina maana na wewe uko njema.
Mungu ni mwema mkuu na wewe utakuwa Njema tu..ukifata misingi mikuu ya biashara utakua na watu wa namna hiyo na pia mwenyewe uwe mfanyabiashara pia na usiogope ku take risk..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…